Loading...

TRA YAZIFUNGIA HOTEL TATU IKIWEMO NAFF HOTEL NA KITUO CHA MAFUTA MKOANI MTWARA

Loading...
TRA YAZIFUNGIA HOTEL TATU IKIWEMO NAFF HOTEL NA KITUO CHA MAFUTA MKOANI MTWARA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TRA YAZIFUNGIA HOTEL TATU IKIWEMO NAFF HOTEL NA KITUO CHA MAFUTA MKOANI MTWARA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TRA YAZIFUNGIA HOTEL TATU IKIWEMO NAFF HOTEL NA KITUO CHA MAFUTA MKOANI MTWARA
link : TRA YAZIFUNGIA HOTEL TATU IKIWEMO NAFF HOTEL NA KITUO CHA MAFUTA MKOANI MTWARA

soma pia


TRA YAZIFUNGIA HOTEL TATU IKIWEMO NAFF HOTEL NA KITUO CHA MAFUTA MKOANI MTWARA

Mamlaka ya mapato mkoani Mtwara (TRA) imezifungia hotel tatu mkoani humo pamoja na kituo cha kuuza mafuta kwa kushindwa kulipa kodi ya malimbukizo ya madeni.

Hotel zilizofungiwa ni Naff Beach, Naf blue, BNN pamoja na kituo cha Mnarani Petrol Station ambao kwa pamoja wanadaiwa zaidi ya Shilingi bilioni moja ,ambazo ni malimbukizo ya madeni ya nyuma kwa kipindi cha miaka mitatu.

Afisa mwandamizi wa huduma na elimu kwa mlipa kodi mkoa wa Mtwara, Flavian Byabato amesema zoezi hilo ni endelevu kwa mkoa mzima.

“Ni madeni ambayo yametokana na ukaguzi kwa kipindi cha miaka mitatu nyuma,kikubwa walipe kodi,tunafungia kwa mambo mbalimbali kama malimbikizo ya madeni ya muda mrefu,matumizi sahihi ya mashine za EFD katika kutoa na kudai risiti sahihi inayoakisi gharama halisi ya malipo na kutii sheria za kodi kama kutunza kumbukumbu,”amesema Byabato

Byabato amesema endapo wadaiwa watashindwa kulipa madeni yao watachukua hatua nyigine kama kukamata mali au kuwapeleka mahakamani,kama hawatajitokeza kuomba na kuahidi ni lini watalipa madeni kwani hakuna aliyejitokeza kufanya hivyo.

Aidha amesema pia yapo maduka madogo ambayo yamefungiwa na kwa sasa wako wilayani Masasi wanaendelea na ukaguzi.

Pichani hoteli ya Naff Beach ikiwa imezungushiwa utepe na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA).


Hivyo makala TRA YAZIFUNGIA HOTEL TATU IKIWEMO NAFF HOTEL NA KITUO CHA MAFUTA MKOANI MTWARA

yaani makala yote TRA YAZIFUNGIA HOTEL TATU IKIWEMO NAFF HOTEL NA KITUO CHA MAFUTA MKOANI MTWARA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TRA YAZIFUNGIA HOTEL TATU IKIWEMO NAFF HOTEL NA KITUO CHA MAFUTA MKOANI MTWARA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/02/tra-yazifungia-hotel-tatu-ikiwemo-naff.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "TRA YAZIFUNGIA HOTEL TATU IKIWEMO NAFF HOTEL NA KITUO CHA MAFUTA MKOANI MTWARA"

Post a Comment

Loading...