Loading...

JESHI LA WANANCHI WA TANZANIA LAADHIMISHA MIAKA 53 TOKA KUANZISHWA KWAKE

Loading...
JESHI LA WANANCHI WA TANZANIA LAADHIMISHA MIAKA 53 TOKA KUANZISHWA KWAKE - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa JESHI LA WANANCHI WA TANZANIA LAADHIMISHA MIAKA 53 TOKA KUANZISHWA KWAKE, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : JESHI LA WANANCHI WA TANZANIA LAADHIMISHA MIAKA 53 TOKA KUANZISHWA KWAKE
link : JESHI LA WANANCHI WA TANZANIA LAADHIMISHA MIAKA 53 TOKA KUANZISHWA KWAKE

soma pia


JESHI LA WANANCHI WA TANZANIA LAADHIMISHA MIAKA 53 TOKA KUANZISHWA KWAKE


Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Wananchi wa Tanzania Jenerali Venance Mabeyo akizungumzia maadhimisho ya miaka 53 tangu kuanzishwa kwa jeshi hilo la Wananchi katika Makao makuu ya Jeshi hilo Ngome jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Wananchi wa Tanzania Jenerali Venance Mabeyo akiwa katika picha na Jenerali wa kwanza Mzalendo kuliongoza Jeshi hilo Jenerali Mstaafu Mirisho Sarakikya wa kwanza kushoto pamoja na Jenerali Mstaafu Davis Mwamunyange mara baada ya kuzungumza kuhusu kuhusu miaka 53 tangu kuanzishwa kwa jeshi hilo la Wananchi katika Makao makuu ya Jeshi hilo Ngome jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Wananchi wa Tanzania Jenerali Venance Mabeyo akiwa katika picha na Jenerali wa kwanza Mzalendo kuliongoza Jeshi hilo Jenerali Mstaafu Mirisho Sarakikya wanne kutoka kushoto Jenerali Mstaafu Davis Mwamunyange wanne kutoka kulia Mnadhimu Mkuu wa Jeshi Luteni Jenerali Mwakibolwa watatu kutoka kushoto mstari wa mbele pamoja na Wakuu wa Kamandi na machifu wa Makao makuu ya Jeshi hilo.

PICHA NA MPIGA PICHA WETU


Hivyo makala JESHI LA WANANCHI WA TANZANIA LAADHIMISHA MIAKA 53 TOKA KUANZISHWA KWAKE

yaani makala yote JESHI LA WANANCHI WA TANZANIA LAADHIMISHA MIAKA 53 TOKA KUANZISHWA KWAKE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala JESHI LA WANANCHI WA TANZANIA LAADHIMISHA MIAKA 53 TOKA KUANZISHWA KWAKE mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/jeshi-la-wananchi-wa-tanzania.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "JESHI LA WANANCHI WA TANZANIA LAADHIMISHA MIAKA 53 TOKA KUANZISHWA KWAKE"

Post a Comment

Loading...