Loading...
title : Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Shaka Hamdu Amtembelea Waziri Mkuu Mstaaf wa Tanzania Mhe.John Malecela Nyumbani Kwake Dodoma.
link : Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Shaka Hamdu Amtembelea Waziri Mkuu Mstaaf wa Tanzania Mhe.John Malecela Nyumbani Kwake Dodoma.
Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Shaka Hamdu Amtembelea Waziri Mkuu Mstaaf wa Tanzania Mhe.John Malecela Nyumbani Kwake Dodoma.
Waziri Mkuu Mstaafu, John Malecela akizungumza na Kaimu Katibu wa umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi ( UVCCM ) Shaka Hamdu Shaka (kushoto) wakati alipomtembelea, nyumbani kwake mjini Dodoma
Waziri Mkuu Mstaafu, John Malecela akimwonyesha kaimu katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi ( UVCCM ) Shaka Hamdu Shaka kinyango chenye uzito wa tani 1 wakati alipomtembelea, nyumbani kwake mjini Dodoma
Waziri Mkuu Mstaafu, John Malecela akimwelezea kaimu katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi ( UVCCM ) Shaka Hamdu Shaka picha iliochorwa na Mwanafinzi wa darasa la saba Mwaka 1982 wakati wa hali ngumu ya uchumi nchini.
Waziri Mkuu Mstaafu, John Malecela akimwelezea kaimu katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi ( UVCCM ) Shaka Hamdu Shaka picha iliyochorwa na mjuu wake ikimuonesha yeye na Marehemu Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Picha ya pamoja Waziri Mkuu Mstaafu, John Malecela na Kaimu katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi ( UVCCM ) Shaka Hamdu Shaka picha
Kaimu katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi ( UVCCM ) Shaka Hamdu Shaka akimuaga Waziri Mkuu Mstaafu, John Malecela alipomtembelea nyumbani kwake Mtaa wa Kilimani Mjini Dodoma(Picha na Fahadi Siraji)
Hivyo makala Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Shaka Hamdu Amtembelea Waziri Mkuu Mstaaf wa Tanzania Mhe.John Malecela Nyumbani Kwake Dodoma.
yaani makala yote Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Shaka Hamdu Amtembelea Waziri Mkuu Mstaaf wa Tanzania Mhe.John Malecela Nyumbani Kwake Dodoma. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Shaka Hamdu Amtembelea Waziri Mkuu Mstaaf wa Tanzania Mhe.John Malecela Nyumbani Kwake Dodoma. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/kaimu-katibu-mkuu-uvccm-shaka-hamdu.html
0 Response to "Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Shaka Hamdu Amtembelea Waziri Mkuu Mstaaf wa Tanzania Mhe.John Malecela Nyumbani Kwake Dodoma."
Post a Comment