Loading...

Kamishna Mkuu TRA Afanya Ziara ya Kikazi TBL.

Loading...
Kamishna Mkuu TRA Afanya Ziara ya Kikazi TBL. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Kamishna Mkuu TRA Afanya Ziara ya Kikazi TBL., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Kamishna Mkuu TRA Afanya Ziara ya Kikazi TBL.
link : Kamishna Mkuu TRA Afanya Ziara ya Kikazi TBL.

soma pia


Kamishna Mkuu TRA Afanya Ziara ya Kikazi TBL.

Mkurugenzi Mtendaji wa TBL Group, Roberto Jarrin (kulia) akimkaribisha Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Charles Kichere wakati alipoongoza ujumbe wa Maofisa Waandamizi wa taasisi hiyo katika ziara ya kikazi katika kiwanda cha Bia cha Tanzania Breweries Limited, kilichopo Ilala jijini Dar e Salaam. Mkurugenzi Mtendaji wa TBL Group, Roberto Jarrin (aliyesimama) akielezea ujumbe wa Kamishna Mkuu wa TRA utendaji kazi wa kampuni hiyo. Meneja wa Afya na Usalama sehemuya kazi wa TBL Group, Renatus Nyanda (kushoto) akimweleza Kamishna Mkuu wa TRA (Kulia) na ujumbe wake utekelezaji wa kanuni za usalama wa kampuni kabla ya kuanza ziara ya kutembelea kiwanda ,wa pili kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa TBL,Roberto Jarrin. Kamishna Mkuu wa TRA na ujumbe wake wakipata maelezo ya mchakato wa kutengeneza bia kutoka kwa Meneja wa Kiwanda cha TBL cha Ilala-Calvin Martin. Mtaalam wa kuonja bia wa TBLGroup, Rebecca Semoka, (kushoto) akimweleza Kamishna Mkuu wa TRA na ujumbe wake mchakato wa kuonja ubora wa radha ya bia kabla ya kuingia kwenye masoko. Mkurugenzi Mtendaji wa TBL Group,Roberto Jarrin ( wa nne kulia) na Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya MapatoTanzania (TRA) Charles Kichere ( wa tatu kushoto ) wakiwa katika picha ya pamoja na Maofisa Waandamizi wa TBL na TRA wakazi wa ziara ya kikazi ya watendaji wa TRA katika kiwanda hicho.


Hivyo makala Kamishna Mkuu TRA Afanya Ziara ya Kikazi TBL.

yaani makala yote Kamishna Mkuu TRA Afanya Ziara ya Kikazi TBL. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Kamishna Mkuu TRA Afanya Ziara ya Kikazi TBL. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/kamishna-mkuu-tra-afanya-ziara-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Kamishna Mkuu TRA Afanya Ziara ya Kikazi TBL."

Post a Comment

Loading...