Loading...

KAMPUNI YA GROOVJOINT YALETA VIUNGANISHI VYA MABOMBA KUTOKA NCHINI MAREKANI

Loading...
KAMPUNI YA GROOVJOINT YALETA VIUNGANISHI VYA MABOMBA KUTOKA NCHINI MAREKANI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KAMPUNI YA GROOVJOINT YALETA VIUNGANISHI VYA MABOMBA KUTOKA NCHINI MAREKANI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KAMPUNI YA GROOVJOINT YALETA VIUNGANISHI VYA MABOMBA KUTOKA NCHINI MAREKANI
link : KAMPUNI YA GROOVJOINT YALETA VIUNGANISHI VYA MABOMBA KUTOKA NCHINI MAREKANI

soma pia


KAMPUNI YA GROOVJOINT YALETA VIUNGANISHI VYA MABOMBA KUTOKA NCHINI MAREKANI

Wakala wa wauzaji wa Vifaa Vya kuunganishia mabomba yanayotoka nchini Marekani, David Robert Mwamsojo akionyesha waandishi wa habari moja ya kiunganishi cha mabomba yanayotengenezwa na kampuni ya GroovJoint ya nchini Marekani katika mkutano wa kuitambulisha kampuni ya GroovJoint ya nchini Marekani iliyoleta nchini Tanzania teknolojia mpya ambayo itasaidia kuokoa miundo mbinu ya maji. Pembeni ni Makamu wa Rais wa Kampuni ya GroovJoint ya nchini Marekani iliyokuja kuwekeza nchini Tanzania katika sekta ya viwanda. Picha na Kajunason/MMG.


Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Sekta Binafsi (TPSF), Godfrey Simbeye akitoa shukrani zake za pekee kwa kampuni ya GroovJoint iliyokuja nchini Tanzania kuwekeza upande wa viunganishi vya mabomba ambapo alisema kuwa wameamua kuwapokea kwa mikono miwili kampuni hiyo kwa vile viunganishi vitasaidia wananchi kupata maji safi na salama. Pembeni ni Makamu wa Rais wa Kampuni ya GroovJoint ya nchini Marekani iliyokuja kuwekeza nchini Tanzania katika sekta ya viwanda na Wakala wa wauzaji wa Vifaa Vya kuunganishia mabomba yanayotoka nchini Marekani, David Robert Mwamsojo. Makamu wa Rais wa Kampuni ya GroovJoint ya nchini Marekani, David Newman iliyokuja kuwekeza nchini Tanzania katika sekta ya viwanda kwa kuleta viunganishi vya mabomba.

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Sekta Binafsi (TPSF), Godfrey Simbeye akimshukuru Makamu wa Rais wa Kampuni ya GroovJoint ya nchini Marekani, David Newman mara baada ya mkutano na waandishi wa habari kuelezea malengo ya kampuni yao. Pembeni ni Wakala wa wauzaji wa Vifaa Vya kuunganishia mabomba yanayotoka nchini Marekani, David Robert Mwamsojo.


Hivyo makala KAMPUNI YA GROOVJOINT YALETA VIUNGANISHI VYA MABOMBA KUTOKA NCHINI MAREKANI

yaani makala yote KAMPUNI YA GROOVJOINT YALETA VIUNGANISHI VYA MABOMBA KUTOKA NCHINI MAREKANI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KAMPUNI YA GROOVJOINT YALETA VIUNGANISHI VYA MABOMBA KUTOKA NCHINI MAREKANI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/kampuni-ya-groovjoint-yaleta.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "KAMPUNI YA GROOVJOINT YALETA VIUNGANISHI VYA MABOMBA KUTOKA NCHINI MAREKANI"

Post a Comment

Loading...