Loading...
title : KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA, DKT JUMA MALEWA APOKEA MISAADA YA KIBINADAMU YA WAFUNGWA, MKOANI KILIMANJARO
link : KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA, DKT JUMA MALEWA APOKEA MISAADA YA KIBINADAMU YA WAFUNGWA, MKOANI KILIMANJARO
KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA, DKT JUMA MALEWA APOKEA MISAADA YA KIBINADAMU YA WAFUNGWA, MKOANI KILIMANJARO
Mwenyekiti wa New Life In Christ Mkoani Kilimanjaro, Bi. Elly Makyao (kulia) akikabidhi misaada ya kibinadamu ya Wafungwa waliopo Magerezani nchini kwa Kamishna Jenerali wa Magereza Nchini, Dkt. Juma Malewa. Hafla fupi ya Makabidhiano ya Misaada hiyo imefanyika leo Septemba 08, 2017 katika Viwanja vya Gereza Kuu Karanga – Moshi, Mkoani Kilimanjaro.
Kamishna Jenerali wa Magereza Nchini, Dkt. Juma Malewa akitoa hotuba fupi wakati wa hafla ya kupokea misaada ya kibinadamu kwa Wafungwa waliopo Magerezani iliyotolewa na Asasi ya "New Life In Christ" leo Septemba 08, 2017 katika Viwanja vya Gereza Kuu Karanga - Moshi, Mkoani Kilimanjaro.
Kamishna Jenerali wa Magereza nchini, Dkt. Juma Malewa akiwakabidhi cheti cha shukrani Viongozi wa Asasi ya "New Life In Christ" kwa kutambua mchango wao kwa niaba ya Jeshi la Magereza Tanzania na Serikali kwa ujumla.
Kamishna Jenerali wa Magereza nchini, Dkt. Juma Malewa akimsukuma askari ambaye ameketi kwenye Baiskeli Maalum ya kubebea wagonjwa wasiojiweza ambayo ni miogoni mwa vifaa mbalimbali vilivyotolewa kama msaada kwa Jeshi la Magereza na Asasi ya "New Life In Christ"(kushoto) ni Mkurugenzi wa Doricas Aide International anayeshughulikia Miradi ya Afya katika nchi za Africa, Bi. Mirjam Verwij.
Hivyo makala KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA, DKT JUMA MALEWA APOKEA MISAADA YA KIBINADAMU YA WAFUNGWA, MKOANI KILIMANJARO
yaani makala yote KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA, DKT JUMA MALEWA APOKEA MISAADA YA KIBINADAMU YA WAFUNGWA, MKOANI KILIMANJARO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA, DKT JUMA MALEWA APOKEA MISAADA YA KIBINADAMU YA WAFUNGWA, MKOANI KILIMANJARO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/kamishna-jenerali-wa-magereza-dkt-juma.html
0 Response to "KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA, DKT JUMA MALEWA APOKEA MISAADA YA KIBINADAMU YA WAFUNGWA, MKOANI KILIMANJARO"
Post a Comment