Loading...
title : Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar
link : Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar
Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar
Baadhi ya Wajumbe wa kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar wakifuatilia kwa makini taarifa zilizotolewa katika kikao hicho kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)[Picha na Ikulu.] 18/09/2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Juma Abdalla Juma (Mabodi) wakiimba wimbo wa Chama mara walipoingia katika Ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja katika kikao cha siku moja cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar kilichofanyika leo,[Picha na Ikulu.] 18/09/2017.
Baadhi ya wajumbe kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar wakiimba wimbo wa Chama kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika kikao cha Siku moja kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja, [Picha na Ikulu.] 18/09/2017.
Baadhi ya Wajumbe wa kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar wakifuatilia kwa makini taarifa zilizotolewa katika kikao hicho kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)[Picha na Ikulu.] 18/09/2017.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Juma Abdalla Juma (Mabodi) alipokuwa akimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) kuzungumza na Wajumbe wa kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 18/09/2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein(kushoto) alipokuwa akizungumza na Wajumbe wa Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar katika kikao cha siku moja kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 18/09/2017.
Hivyo makala Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar
yaani makala yote Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/kikao-cha-kamati-maalum-ya-halmashauri_18.html
0 Response to "Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar"
Post a Comment