Loading...

Kikosi cha Timu ya Taifa ya Jangombe Wakombozi wa Ngwambu Warejea Zizini Kwao.

Loading...
Kikosi cha Timu ya Taifa ya Jangombe Wakombozi wa Ngwambu Warejea Zizini Kwao. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Kikosi cha Timu ya Taifa ya Jangombe Wakombozi wa Ngwambu Warejea Zizini Kwao., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Kikosi cha Timu ya Taifa ya Jangombe Wakombozi wa Ngwambu Warejea Zizini Kwao.
link : Kikosi cha Timu ya Taifa ya Jangombe Wakombozi wa Ngwambu Warejea Zizini Kwao.

soma pia


Kikosi cha Timu ya Taifa ya Jangombe Wakombozi wa Ngwambu Warejea Zizini Kwao.

Na: Abubakar Khatib Kisandu, Zanzibar.
Timu ya Taifa ya Jang'ombe "wakombozi wa ng'ambo" wamerejea kufanya mazoezi  katika uwanja wake wa nyumbani ulioko mtaa wa Taifa huko Mpendae ambapo mara ya mwisho kuutumia uwanja huo ilikuwa January mwaka huu.

Taifa walio chini ya kocha Saleh Maisara wamekuwa wakitumia Uwanja vya Mnazi Mmoja kama sehemu ya mazoezi kwa sababu ya ukubwa na uzuri wa uwanja huo tofauti na wa Taifa ambao upo karibu na makazi ya watu.

Imekua ni desturi kwa vilabu vingi hapa visiwani kwetu kubadalisha uwanja wa mazoezi baada ya kupanda ligi kuu kwa mfano Miembeni City fc wamekua wakitumia uwanja wa Amani kama sehemu ya kujiandaa na ligi kuu Zanzibar wakiachana na ule wa Miembeni Tumbaku.

Taifa wataendelea kuutumia uwanja huo kwa ajili ya kurejesha mashabiki wao na kupata radhi za wazee wa mitaa hiyo kwasababu timu hiyo saivi imepoteza mashabiki na imani baada ya kutokufanya vizuri msimu uliopita katika hatua ya 8 bora.


Hivyo makala Kikosi cha Timu ya Taifa ya Jangombe Wakombozi wa Ngwambu Warejea Zizini Kwao.

yaani makala yote Kikosi cha Timu ya Taifa ya Jangombe Wakombozi wa Ngwambu Warejea Zizini Kwao. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Kikosi cha Timu ya Taifa ya Jangombe Wakombozi wa Ngwambu Warejea Zizini Kwao. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/kikosi-cha-timu-ya-taifa-ya-jangombe.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Kikosi cha Timu ya Taifa ya Jangombe Wakombozi wa Ngwambu Warejea Zizini Kwao."

Post a Comment

Loading...