Loading...
title : Matukio : Waziri, Mhe. Mkuchika Akutana na Watendaji wa Ofisi yake
link : Matukio : Waziri, Mhe. Mkuchika Akutana na Watendaji wa Ofisi yake
Matukio : Waziri, Mhe. Mkuchika Akutana na Watendaji wa Ofisi yake
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapteni Mstaafu, Mhe. George H. Mkuchika (Mb) akiwa katika kikao kifupi na baadhi ya Watendaji wa Ofisi yake mara baada ya kuapishwa IKULU jijini Dar es Salaam.
Sehemu ya Watendaji walioshiriki kikao cha Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapteni Mstaafu, Mhe. George H. Mkuchika (Mb) wakipokea maelekezo kuhusu masuala mbalimbali kuhusu utumishi wa umma nchini.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapteni Mstaafu, Mhe. George H. Mkuchika (Mb) akiongoza kikao chake cha kwanza mara baada ya kuapishwa mapema leo IKULU jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapteni Mstaafu, Mhe. George H. Mkuchika (Mb) akisisitiza jambo wakati wa kikao na Watendaji wa Ofisi yake mara baada ya kuapishwa IKULU jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro akimkaribisha Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapteni Mstaafu, Mhe. George H. Mkuchika (Mb) kuongea na baadhi ya Watendaji wa ofisi yake jijini Dar es Salaam.
Hivyo makala Matukio : Waziri, Mhe. Mkuchika Akutana na Watendaji wa Ofisi yake
yaani makala yote Matukio : Waziri, Mhe. Mkuchika Akutana na Watendaji wa Ofisi yake Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Matukio : Waziri, Mhe. Mkuchika Akutana na Watendaji wa Ofisi yake mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/matukio-waziri-mhe-mkuchika-akutana-na.html
0 Response to "Matukio : Waziri, Mhe. Mkuchika Akutana na Watendaji wa Ofisi yake"
Post a Comment