Loading...
title : KUMBUKUMBU YA MIAKA 20 YA KIFO CHA RAMADHANI NYAMKA
link : KUMBUKUMBU YA MIAKA 20 YA KIFO CHA RAMADHANI NYAMKA
KUMBUKUMBU YA MIAKA 20 YA KIFO CHA RAMADHANI NYAMKA
Familia ya Ramadhani Hassan Nyamka wanakumbuka kifo cha baba yao mpendwa Ramadhani Nyamka aliyefariki Septemba 20 1997.
Ni miaka 2o toka kuondoka kwa Ramadhani Nyamka ambaye aliwahi kuwa Mwemyekiti wa Chama Mkoa Dar es Salaam na Meya wa Jiji la Dar es salaam mwaka 1978-82.
Unakumbukwa na watoto wako Zuberi, Ibrahim, Sophia, Halima, Shami, Mariam, Maendeleo, Shaban na Mikidadi, wake zao Mama Shami na Mama Mzee pamoja na wajukuu zako Zainab, Umrathi, Nuru, Salum, Hafidha, Sara na familia nzima kwa ujumla.
Tunazidi kukuombea kwa Allah azidi kukupa kauli thabiti na makazi mema Akhera.
Allahuma Amin.
Allahuma Amin.
Hivyo makala KUMBUKUMBU YA MIAKA 20 YA KIFO CHA RAMADHANI NYAMKA
yaani makala yote KUMBUKUMBU YA MIAKA 20 YA KIFO CHA RAMADHANI NYAMKA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KUMBUKUMBU YA MIAKA 20 YA KIFO CHA RAMADHANI NYAMKA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/kumbukumbu-ya-miaka-20-ya-kifo-cha.html
0 Response to "KUMBUKUMBU YA MIAKA 20 YA KIFO CHA RAMADHANI NYAMKA"
Post a Comment