Loading...

LIGI DARAJA LA PILI KUANZA SEPTEMBA 30, 2017

Loading...
LIGI DARAJA LA PILI KUANZA SEPTEMBA 30, 2017 - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa LIGI DARAJA LA PILI KUANZA SEPTEMBA 30, 2017, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : LIGI DARAJA LA PILI KUANZA SEPTEMBA 30, 2017
link : LIGI DARAJA LA PILI KUANZA SEPTEMBA 30, 2017

soma pia


LIGI DARAJA LA PILI KUANZA SEPTEMBA 30, 2017


Ligi Daraja la Pili Tanzania Bara (SDL), inatarajiwa kuanza Septemba 30, mwaka huu kwa timu kuchuana katika viwanja vitano tofauti.
Kwa mujibu wa Ratiba ambayo imeambatanishwa, michezo ya siku hiyo itakuwa ni kati ya Abajalo na Cosmopolitan; Namungo na Reha kutoka Kundi A wakati kundi B kutakuwa na mchezo kati ya Pepsi na Madini.
Kundi C kutakuwa na mchezo kati ya Burkinafaso na Ihefu kadhalika Boma itacheza na Mkamba Rangers huku Kundi D likikutanisha timu za Bulyanhulu na Milambo.
Katika Kundi hilo la D Mchezo kati ya Nyanza FC na Area C uliokuwa ufanyike Septemba 30, 2017 siku ya Jumamosi kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha, sasa utachezwa Oktoba 01, 2017 siku ya Jumapili kwenye Uwanja huo huo.
Sababu za mabadiliko haya ni kutokana na mchezo kati ya Pepsi FC vs Madini FC kuchezwa tarehe 30.09.2017 katika uwanja huo. Awali mchezo wa Nyanza na Area C ulipangwa kufanyika mkoani Manyara, lakini kutokana na hali ya uwanja ilibidi Bodi ya ligi ufanye mabadiliko husika.


Hivyo makala LIGI DARAJA LA PILI KUANZA SEPTEMBA 30, 2017

yaani makala yote LIGI DARAJA LA PILI KUANZA SEPTEMBA 30, 2017 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala LIGI DARAJA LA PILI KUANZA SEPTEMBA 30, 2017 mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/ligi-daraja-la-pili-kuanza-septemba-30_29.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "LIGI DARAJA LA PILI KUANZA SEPTEMBA 30, 2017"

Post a Comment

Loading...