Loading...
title : MADIWANI KIGOMA WAKUTANA KUJADILI NAMNA YA KUTUMIA MIRADI MBALIMBALI KUBORESHA MAZINGIRA YA UWEKEZAJI
link : MADIWANI KIGOMA WAKUTANA KUJADILI NAMNA YA KUTUMIA MIRADI MBALIMBALI KUBORESHA MAZINGIRA YA UWEKEZAJI
MADIWANI KIGOMA WAKUTANA KUJADILI NAMNA YA KUTUMIA MIRADI MBALIMBALI KUBORESHA MAZINGIRA YA UWEKEZAJI
Kikao cha Baraza la wafanyabiashara wilaya ya kigoma kilichofanyika jana ambacho kilikuwa kikao maalum cha madiwani wa halmashauri ya Manispaa ya Kigoma Ujiji na halmashauri ya wilaya ya kigoma mkoani kigoma, wakisikiliza ajenda mbalimbali zinazowasirishwa na baraza hilo na namna ya kutumia fursa ya mradi wa ( LIC) unaolenga kuboresha mazingira ya uwekezaji na biashara kwa wafanyabiashara wadogo,kati na wakubwa ili kukuza uchumi katika sekta ya viwanda mkoani humo.Picha na Magreth Magosso Kigoma.
Hivyo makala MADIWANI KIGOMA WAKUTANA KUJADILI NAMNA YA KUTUMIA MIRADI MBALIMBALI KUBORESHA MAZINGIRA YA UWEKEZAJI
yaani makala yote MADIWANI KIGOMA WAKUTANA KUJADILI NAMNA YA KUTUMIA MIRADI MBALIMBALI KUBORESHA MAZINGIRA YA UWEKEZAJI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MADIWANI KIGOMA WAKUTANA KUJADILI NAMNA YA KUTUMIA MIRADI MBALIMBALI KUBORESHA MAZINGIRA YA UWEKEZAJI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/madiwani-kigoma-wakutana-kujadili-namna.html
0 Response to "MADIWANI KIGOMA WAKUTANA KUJADILI NAMNA YA KUTUMIA MIRADI MBALIMBALI KUBORESHA MAZINGIRA YA UWEKEZAJI"
Post a Comment