Loading...
title : CHANGAMOTO KATIKA SUALA ZIMA LA KUPAMBANA NA UGONJWA WA MALARIA
link : CHANGAMOTO KATIKA SUALA ZIMA LA KUPAMBANA NA UGONJWA WA MALARIA
CHANGAMOTO KATIKA SUALA ZIMA LA KUPAMBANA NA UGONJWA WA MALARIA
Wakati serikali ikishirikiana na wahisani mbalimbali wa afya katika kuondoa changamoto ya ugonjwa wa malaria unaoenezwa na Mmbu jike aitwaye anofeles, baadhi ya wakazi wa Manispaa ya kigoma ujiji wamekuwa wakitumia vyandarua kuhifadhi vifaranga vya kuku ili wasiliwe na mwewe,picha kama ambavyo imenaswa na mpiga picha wetu Magreth Magosso kigoma Chandarua kikitumika kuwalinda Vifaranga hao wasiliwe na Mwewe,kimsingi Elimu bado inahitajika kwa jamii katika suala zima la matumizi bora na sahihi ya Vyandarua katika suala zima la kupambana na ugonjwa wa Malaria.
Hivyo makala CHANGAMOTO KATIKA SUALA ZIMA LA KUPAMBANA NA UGONJWA WA MALARIA
yaani makala yote CHANGAMOTO KATIKA SUALA ZIMA LA KUPAMBANA NA UGONJWA WA MALARIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala CHANGAMOTO KATIKA SUALA ZIMA LA KUPAMBANA NA UGONJWA WA MALARIA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/changamoto-katika-suala-zima-la.html
0 Response to "CHANGAMOTO KATIKA SUALA ZIMA LA KUPAMBANA NA UGONJWA WA MALARIA"
Post a Comment