Loading...

Mahakama Yamuachia Huru Yusuf Manji

Loading...
Mahakama Yamuachia Huru Yusuf Manji - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Mahakama Yamuachia Huru Yusuf Manji, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Mahakama Yamuachia Huru Yusuf Manji
link : Mahakama Yamuachia Huru Yusuf Manji

soma pia


Mahakama Yamuachia Huru Yusuf Manji

Mahakama imemuachia huru mfanyabiashara Yusuf Manji katika kesi ya uhujumu uchumi baada ya Mwendesha Mashtaka wa Serikali (DPP) kuwasilisha hati mahakamani hapo ikionyesha kuwa hana nia ya kuendelea na kesi dhidi yake.

Manji na watuhumiwa wenzake watatu walikuwa wakikabiliwa na mashtaka saba yakiwemo ya uhujumu uchumi, kukutwa na mihuri miwili ya JWTZ, ukiwemo wa Mkuu wa Kikosi cha 21 JWTZ, wa Mkuu wa Kikosi Makutupora Dodoma (JWTZ) na wa Commanding Officer Korogwe na plate number mbili za magari ya serikali.

Watuhumiwa wengine walioachiwa huru kwenye kesi hiyo ni Deogratius Kasinda na Thobias Pwere na mwingine ambaye jina lake halikufahamika mara moja.


Hivyo makala Mahakama Yamuachia Huru Yusuf Manji

yaani makala yote Mahakama Yamuachia Huru Yusuf Manji Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Mahakama Yamuachia Huru Yusuf Manji mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/mahakama-yamuachia-huru-yusuf-manji.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Mahakama Yamuachia Huru Yusuf Manji"

Post a Comment

Loading...