Loading...
title : MAJALIWA ATEMBELEA KIWANDA CHA VIGAE CHA TWYFORD CHA CHALINZI MKOANI PWANI
link : MAJALIWA ATEMBELEA KIWANDA CHA VIGAE CHA TWYFORD CHA CHALINZI MKOANI PWANI
MAJALIWA ATEMBELEA KIWANDA CHA VIGAE CHA TWYFORD CHA CHALINZI MKOANI PWANI
Mwambawahabari
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na viongozi wa serikqli na Chama Tawala CCM baada ya kutembelea kiwanda cha vigae cha TWYFORD kilichopo Chalinze mkoani Pwani Septemba 19, 2017. Kushoto ni Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ufungaji mitambo ya kiwanda cha vigae cha TWYFORD kilichopo Chalinze mkoani Pwani Septemba 19, 2017. Kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Evarest Ndikilo na kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda hicho, Bw. Jack Fen.
Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
Hivyo makala MAJALIWA ATEMBELEA KIWANDA CHA VIGAE CHA TWYFORD CHA CHALINZI MKOANI PWANI
yaani makala yote MAJALIWA ATEMBELEA KIWANDA CHA VIGAE CHA TWYFORD CHA CHALINZI MKOANI PWANI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAJALIWA ATEMBELEA KIWANDA CHA VIGAE CHA TWYFORD CHA CHALINZI MKOANI PWANI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/majaliwa-atembelea-kiwanda-cha-vigae.html
0 Response to "MAJALIWA ATEMBELEA KIWANDA CHA VIGAE CHA TWYFORD CHA CHALINZI MKOANI PWANI"
Post a Comment