Loading...
title : MAJANGA MENGINE YA MKUTA MANJI........
link : MAJANGA MENGINE YA MKUTA MANJI........
MAJANGA MENGINE YA MKUTA MANJI........
Mwambawahabari
Serikali imelifuta shamba la mfanyabiashara Yusuf Manji, lenye ukubwa wa eka 714.
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi amesema leo Jumatano kuwa, shamba hilo litapangiwa matumizi mengine.
Lukuvi amesema shamba lingine la kampuni ya Amadori lenye ukubwa wa eka 5,400 pia limefutwa.
Waziri amesema mashamba hayo sasa yako mikononi mwa Serikali na yatapangiwa matumizi mengine.
Lukuvi amewaonya wananchi wasivamie maeneo hayo kwa kuwa watakaokamatwa watashitakiwa.
"Muyaache maeneo hayo kama yalivyo mkijenga tutakuja kuvunja," amesema.
Hivyo makala MAJANGA MENGINE YA MKUTA MANJI........
yaani makala yote MAJANGA MENGINE YA MKUTA MANJI........ Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAJANGA MENGINE YA MKUTA MANJI........ mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/majanga-mengine-ya-mkuta-manji.html
0 Response to "MAJANGA MENGINE YA MKUTA MANJI........"
Post a Comment