Loading...

MAJALIWA AMJULIA HALI MBUNGE WA MISUNGWI, CHARLES KITWANGA

Loading...
MAJALIWA AMJULIA HALI MBUNGE WA MISUNGWI, CHARLES KITWANGA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAJALIWA AMJULIA HALI MBUNGE WA MISUNGWI, CHARLES KITWANGA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAJALIWA AMJULIA HALI MBUNGE WA MISUNGWI, CHARLES KITWANGA
link : MAJALIWA AMJULIA HALI MBUNGE WA MISUNGWI, CHARLES KITWANGA

soma pia


MAJALIWA AMJULIA HALI MBUNGE WA MISUNGWI, CHARLES KITWANGA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimjulia hali Mbunge wa Misungwi, Charles Kitwanga ambaye amelazwa katika Hospitali ya Benjamin Mkapa jijini Dodoma kwa matibabu, Januari 30, 2019.


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpa pole, Mkuu wa wilaya ya Bahi, Mwanahamisi Mkunda ambaye anamuuguza mwanae, Tunu Kikula aliyelazwa katika hospitali ya Benjamin Mkapa jijini Dodoma kwa matibabu, Januari 30, 2019.


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya madaktari na wauguzi wa Kitengo cha Kusafisha Damu katika hospitali ya Benjamin Mkapa jijini Dodoma wakati alipowajulia hali wagonjwa  hospitalini hapo, Januari 30, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Hivyo makala MAJALIWA AMJULIA HALI MBUNGE WA MISUNGWI, CHARLES KITWANGA

yaani makala yote MAJALIWA AMJULIA HALI MBUNGE WA MISUNGWI, CHARLES KITWANGA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAJALIWA AMJULIA HALI MBUNGE WA MISUNGWI, CHARLES KITWANGA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/01/majaliwa-amjulia-hali-mbunge-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MAJALIWA AMJULIA HALI MBUNGE WA MISUNGWI, CHARLES KITWANGA"

Post a Comment

Loading...