Marehemu Mama Philberta Mapunda apumzishwa kwenye nyumba yake ya milele - Hallo rafiki
SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Marehemu Mama Philberta Mapunda apumzishwa kwenye nyumba yake ya milele, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts
makala afya,
makala general,
makala kisiasa,
makala kitamaduni,
makala kiuchumi,
makala mambo mapya,
makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.
title :
Marehemu Mama Philberta Mapunda apumzishwa kwenye nyumba yake ya milelelink :
Marehemu Mama Philberta Mapunda apumzishwa kwenye nyumba yake ya milele
Marehemu Mama Philberta Mapunda apumzishwa kwenye nyumba yake ya milele
Hivyo makala Marehemu Mama Philberta Mapunda apumzishwa kwenye nyumba yake ya milele
yaani makala yote Marehemu Mama Philberta Mapunda apumzishwa kwenye nyumba yake ya milele Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Marehemu Mama Philberta Mapunda apumzishwa kwenye nyumba yake ya milele mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/marehemu-mama-philberta-mapunda.html
Related Posts :
Zantel kwa kushirikiana na Bodi ya Mamlaka ya Mapato ya Zanzibar wameingia katika makubaliano ambayo yatawawezesha wakazi wa kisiwani hapa kurahisisha huduma ya ulipaji kodi kwa njia ya simu kupitia huduma ya EzyPesa inayotolewa na Kampuni ya Mawasiliano ya Zantel. Ushirikiano huo unawezesha wateja wote wa Bodi ya Mapato Zanzibar kuweza kufanya miamala ya malipo ya kodi bila usumbufu wowote kupitia EzyPesa. Hii inamaanisha kwamba walipa kodi wa ndani wataweza kulipa kodi zao husika ikiwamo ushuru wa forodha na kodi zingine kama PAYE na VAT kwenye uingizaji wa biadhaa kupitia mfumo wa EzyPESA. Akizungumza wakati wa hafla ya kutiliana saini ya makubaliano hayo Alhamisi ya tarehe 14 Desemba 2017, Mkurugenzi Mtendaji wa Zantel, Sherif El Barbary akiwa ameambatana na Kamishna wa Bodi ya Mapato Zanzibar, Amour Hamil Bakari na Mkuu wa Zantel Zanzibar, Mohamed Mussa (Baucha) alisema lengo kuu la huduma hiyo ni kuwawezesha wakazi wa Zanzibar kulipa kodi kwa urahisi zaidi kupitia huduma ya EzyPesa ya Zantel. Alisema kuwa hatua hiyo ya makubaliano inaendana sawa na dira ya Bodi ya Mapato Zanzibar, yenye lengo la kuwa kitovu cha ukusanyaji mapato chenye ufanisi, jambo ambalo litaiwezesha nchi kuongeza pato la taifa la ndani kwa mwaka (GDP). “Kama tunaweza kuongeza ukusanyaji wa mapato kupitia huduma ya EzyPesa na pato la Taifa GDP litaongezeka zaidi. Hii itasaidia kuimarisha uchimi wa Taifa zima, na kwa namna nyingine kipato cha mwananchi wa kawaida kitaongezeka. Alisema Zantel ni miongoni mwa kampuni inayoongoza katika kuchangia malipo makubwa ya kodi kwa Serikali ya Zanzibar na mtandao huo utaendelea kuhakikisha unaendelea na utaratibu wa kusaidia Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar pamoja na Bodi ya Mapato ya Zanzibar ili kuhakikisha kwamba wanakusanya kodi kwa kadri wanavyoweza kupitia huduma ya EzyPesa. Takwimu zinaonyesha kwamba Zantel inalipa Shilingi blioni 2 kama kodi kwa serikali ya Zanzibar kila mwezi ambapo ni takribani shilingi 24 bilioni kwa mwaka. “Lengo la ushirikiano huu ni kuhakikisha tunawasogezea wananchi huduma za ulipaji kodi karibu na maeneo yao, nikimaanisha kuwa sasa hawatohitaji kupoteza muda mwingi kuzifuata huduma za kodi ofisini kwetu bali zitakuwepo viganjani mwao,” alisema Kamishna wa Kodi wa Bodi ya Mapato Zanzibar, Amour Hamil Bakari. Alisema lengo kuu la Bodi ya Mapato Zanzibar ni kusogeza huduma karibu kwa wateja wake, kuimarisha shughuli za utendaji wa kila siku za taasisi hyo ikiwa ni pamoja na kubuni mbinu mbadala za kuongeza ukusanyaji wa mapato Zanzibar
Zantel kwa kushirikiana na Bodi ya Mamlaka ya Mapato ya Zanzibar wameingia katika makubaliano ambayo yatawawezesha wakazi wa kisiwan… Read More...
Wadau Wa Michezo Jitokezeni kuibua Vipaji Vya Michezo Mikoani-Mhe.Shonza
*Na Lorietha Laurence-WHUSM, Mbeya Vijijini*
Naibu Waziri wa Habari ,Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza ametoa wito kwa wadau… Read More...
PANGANI COUNCIL AND OTHER GOVERNMENT ORGANS WARNED AGAINST PUTTING HITCHES ON THE WORK OF UZIKWASA
Pangani District Council and other Government organs have been advised against putting hurdles on the work of a non-government organization… Read More...
KUMBILAMOTO AKABIDHI PIKIPIKI KWA KUNDI LA VIJANA WAJASILIAMALI VINGUNGUTI
Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala na Diwani wa Vingunguti, Omary Kumbilamaoto akizungumza na Wakazi wa Vingunguti juu ya namna alivyto… Read More...
WATANZANIA WAASWA KUPENDA BIDHAA ZA NDANIWatanzania wameshauriwa kupenda kununua bidhaa zinazozalishwa nchini ili waweze kukuza soko la ndani na uchumi kwa ujumla.
Hayo yamesemwa n… Read More...
0 Response to "Marehemu Mama Philberta Mapunda apumzishwa kwenye nyumba yake ya milele"
Post a Comment