Loading...

MATUKIO KATIKA PICHA BUNGENI MJINI DODOMA LEO SEPTEMBA 14,2017

Loading...
MATUKIO KATIKA PICHA BUNGENI MJINI DODOMA LEO SEPTEMBA 14,2017 - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MATUKIO KATIKA PICHA BUNGENI MJINI DODOMA LEO SEPTEMBA 14,2017, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MATUKIO KATIKA PICHA BUNGENI MJINI DODOMA LEO SEPTEMBA 14,2017
link : MATUKIO KATIKA PICHA BUNGENI MJINI DODOMA LEO SEPTEMBA 14,2017

soma pia


MATUKIO KATIKA PICHA BUNGENI MJINI DODOMA LEO SEPTEMBA 14,2017

Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu akisisitiza jambo wakati akiwasilisha muswada wa sheria ya madaktari, madaktari wa meno na wataalamu wa Afya shirikikishi (The medical, Dental and Allied Heath Professional) leo Bungeni mjini Dodoma.
Mwenyekiti wa kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii Mhe. Peter Serukamba akiwasilisha maoni ya Kamati hiyo kuhusu muswada wa sheria ya madaktari, madaktari wa meno na wataalamu wa Afya shirikikishi (The medical, Dental and Allied Heath Professional) leo Bungeni mjini Dodoma.
Waziri wa Viwanda Biashara na Uwekezaji Mhe. Charles Mwijage akisisitiza kuhusu hatua zinazochukuliwa na Serikali katika kuimarisha zao la tangawizi pamoja na Kiwanda cha kuchakata Tangawizi ili iweze kuuzwa katika soko la Kimataifa.
Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu Mhe. Genista Mhagama akizungumzia hatua zinazochukuliwa na Serikali katika kutatua changamoto zilizobainishwa na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Sheria ndogo kuhusu uchambuzi wa Sheria ndogo zilizowasilishwa katika mkutano wa sita na wa saba wa Bunge.
Baadhi ya Wabunge wakiwasili katika viwanja vya Bunge leo Asubuhi kushiriki kikao cha bunge.Picha zote na Frank Mvungi- Maelezo Dodoma


Hivyo makala MATUKIO KATIKA PICHA BUNGENI MJINI DODOMA LEO SEPTEMBA 14,2017

yaani makala yote MATUKIO KATIKA PICHA BUNGENI MJINI DODOMA LEO SEPTEMBA 14,2017 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MATUKIO KATIKA PICHA BUNGENI MJINI DODOMA LEO SEPTEMBA 14,2017 mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/matukio-katika-picha-bungeni-mjini.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MATUKIO KATIKA PICHA BUNGENI MJINI DODOMA LEO SEPTEMBA 14,2017"

Post a Comment

Loading...