Loading...

Matukio : Rais Dk. Magufuli Amuapisha Jaji Mkuu wa Tanzania

Loading...
Matukio : Rais Dk. Magufuli Amuapisha Jaji Mkuu wa Tanzania - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Matukio : Rais Dk. Magufuli Amuapisha Jaji Mkuu wa Tanzania, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Matukio : Rais Dk. Magufuli Amuapisha Jaji Mkuu wa Tanzania
link : Matukio : Rais Dk. Magufuli Amuapisha Jaji Mkuu wa Tanzania

soma pia


Matukio : Rais Dk. Magufuli Amuapisha Jaji Mkuu wa Tanzania


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Profesa Ibrahim Hamis Juma kuwa Jaji Mkuu wa Tanzania Ikulu jijini Dar es salaam Septemba 11, 2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimwangalia Profesa Ibrahim Hamis Juma akitia sahihi hati ya kiapo baada ya kumuapisha kuwa Jaji Mkuu wa Tanzania Ikulu jijini Dar es salaam Septemba 11, 2017.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiweka sahihi hati ya kiapo baada ya kumuapisha Profesa Ibrahim Hamis Juma kuwa Jaji Mkuu wa Tanzania Ikulu jijini Dar es salaam Septemba 11, 2017


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimkabidhi nyezo za kazi baada ya kumuapisha Profesa Ibrahim Hamis Juma kuwa Jaji Mkuu wa Tanzania Ikulu jijini Dar es salaam Septemba 11, 2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiongea baada ya kumuapisha Profesa Ibrahim Hamis Juma kuwa Jaji Mkuu wa Tanzania Ikulu jijini Dar es salaam Septemba 11, 2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan, Spika Job Ndugai, Profesa Ibrahim Hamis Juma, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Waziri wa Sheria na Katiba Profesa Palamagamba kabudi na Jaji Mkuu Mstaafu Mhe. Mohamed Chande Othman katika picha ya kumbukumbu baada ya Rais kumuapisha Profesa Ibrahim Hamis Juma kuwa Jaji Mkuu wa Tanzania Ikulu jijini Dar es salaam Septemba 11, 2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan, Spika Job Ndugai, Profesa Ibrahim Hamis Juma, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Waziri wa Sheria na Katiba Profesa Palamagamba kabudi na Jaji Mkuu Mstaafu Mhe. Mohamed Chande Othman katika picha ya kumbukumbu na Majaji wa Mahakama ya Rufaa na wa Mahakama kuu baada ya Rais kumuapisha Profesa Ibrahim Hamis Juma kuwa Jaji Mkuu wa Tanzania Ikulu jijini Dar es salaam Septemba 11, 2017.



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan, Spika wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai, Jaji Mkuu Profesa Ibrahim Hamis Juma, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, na Jaji Mkuu Mstaafu Mhe. Mohamed Chande Othman katika picha ya kumbukumbu na Viongozi Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama baada ya Rais kumuapisha Profesa Ibrahim Hamis Juma kuwa Jaji Mkuu wa Tanzania Ikulu jijini Dar es salaam Septemba 11, 2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan, Spika wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai, Jaji Mkuu Profesa Ibrahim Hamis Juma, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, na Jaji Mkuu Mstaafu Mhe. Mohamed Chande Othman katika picha ya kumbukumbu na watendaji waandamizi Serikalini baada ya Rais kumuapisha Profesa Ibrahim Hamis Juma kuwa Jaji Mkuu wa Tanzania Ikulu jijini Dar es salaam Septemba 11, 2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan, Spika wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai, Jaji Mkuu Profesa Ibrahim Hamis Juma, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, na Jaji Mkuu Mstaafu Mhe. Mohamed Chande Othman katika picha ya kumbukumbu na watendaji waandamizi wa Mahakama kuu baada ya Rais kumuapisha Profesa Ibrahim Hamis Juma kuwa Jaji Mkuu wa Tanzania Ikulu jijini Dar es salaam Septemba 11, 2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan, Spika wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai, Jaji Mkuu Profesa Ibrahim Hamis Juma, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, na Jaji Mkuu Mstaafu Mhe. Mohamed Chande Othman katika picha ya kumbukumbu na Majaji wastaafu baada ya Rais kumuapisha Profesa Ibrahim Hamis Juma kuwa Jaji Mkuu wa Tanzania Ikulu jijini Dar es salaam Septemba 11, 2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan, Spika wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai, Jaji Mkuu Profesa Ibrahim Hamis Juma, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, na Jaji Mkuu Mstaafu Mhe. Mohamed Chande Othman katika picha ya kumbukumbu na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda na Kamanda wa Kanda Maalum ya Kipolisi ya Mkoa huo Lazaro Mambosasa baada ya Rais kumuapisha Profesa Ibrahim Hamis Juma kuwa Jaji Mkuu wa Tanzania Ikulu jijini Dar es salaam Septemba 11, 2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akifurahia jambo na Jaji Mkuu mpya Profesa Ibrahim Hamis Juma na mkewe Mama Marina P. Juma na wajukuu wao baada ya Rais kumuapisha Ikulu jijini Dar es salaam Septemba 11, 2017



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, Jaji Mkuu mpya Profesa Ibrahim Hamis Juma na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzaia Mhe. job Ndugai baada ya Rais Kumuapisha Profesa Juma Ikulu jijini Dar es salaam Septemba 11, 2017.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimpatia Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh abubakary Zubeiry Ally wakati wa hafla ya kumuapisha Profesa Ibrahim Hamis Juma kuwa Jaji Mkuu wa Tanzania Ikulu jijini Dar es salaam Septemba 11, 2017


Hivyo makala Matukio : Rais Dk. Magufuli Amuapisha Jaji Mkuu wa Tanzania

yaani makala yote Matukio : Rais Dk. Magufuli Amuapisha Jaji Mkuu wa Tanzania Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Matukio : Rais Dk. Magufuli Amuapisha Jaji Mkuu wa Tanzania mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/matukio-rais-dk-magufuli-amuapisha-jaji.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Matukio : Rais Dk. Magufuli Amuapisha Jaji Mkuu wa Tanzania"

Post a Comment

Loading...