Loading...

Matukio : Wakurugenzi Mkoani Singida waagizwa kununua Chaki zinazozalishwa Mkoni Humo

Loading...
Matukio : Wakurugenzi Mkoani Singida waagizwa kununua Chaki zinazozalishwa Mkoni Humo - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Matukio : Wakurugenzi Mkoani Singida waagizwa kununua Chaki zinazozalishwa Mkoni Humo, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Matukio : Wakurugenzi Mkoani Singida waagizwa kununua Chaki zinazozalishwa Mkoni Humo
link : Matukio : Wakurugenzi Mkoani Singida waagizwa kununua Chaki zinazozalishwa Mkoni Humo

soma pia

Matukio : Wakurugenzi Mkoani Singida waagizwa kununua Chaki zinazozalishwa Mkoni Humo

Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhe Dkt Rehema Nchimbi akishiriki kazi ya uzalishaji chaki wakati wa ziara ya kikazi ya kutembelea Kiwanda cha usagaji wa unga wa Gypsum na Uzalishaji chaki cha Dober Color Kilichopo katika Kata ya Itigi-Majengo Halmashauri ya Itigi

Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhe Dkt Rehema Nchimbi akikagua kiwanda cha usagaji wa unga wa Gypsum na Uzalishaji chaki cha Dober Color Kilichopo katika Kata ya Itigi-Majengo Halmashauri ya Itigi wakati wa ziara ya kikazi

Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Manyoni ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Mhe Miraji Jumanne Mtaturu akimkabidhi boksi tano za chaki Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhe Dkt Rehema Nchimbi mara baada ya kutembelea na kukagua kiwanda cha usagaji wa unga wa Gypsum na Uzalishaji chaki
cha Dober Color Kilichopo katika Kata ya Itigi-Majengo Halmashauri ya Itigi wakati wa ziara ya kikazi

Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Manyoni ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Mhe Miraji Jumanne Mtaturu akishiriki kazi ya uzalishaji chaki wakati wa ziara ya kikazi ya Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhe Dkt Rehema Nchimbi kutembelea Kiwanda cha usagaji wa unga wa Gypsum na Uzalishaji
chaki cha Dober Color Kilichopo katika Kata ya Itigi-Majengo Halmashauri ya Itigi

Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhe Dkt Rehema Nchimbi akisalimiana na Meneja wa kiwanda cha Uzalishaji chaki cha Dober Color Ndg Mukhtar Mahamood mara baada ya kuwasili kiwandani hapo

Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhe Dkt Rehema Nchimbi akikagua mizinga ya nyuki mara baada ya kutembele kiwanda Uzalishaji chaki, Mafuta ya Alizeti na Asali cha Fahari Kilichopo katika eneo la
Tambukareli Halmashauri ya Mji wa Itigi wakati wa ziara ya kikazi, Kulia kwake ni Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Manyoni ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Mhe Miraji Jumanne Mtaturu

Ukaguzi wa kiwanda cha uzalishaji Chaki

Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhe Dkt Rehema Nchimbi akikagua eneo la kutunzia Unga wa Gypusm katika kiwanda cha uzalishaji Gypsum cha Sanjaranda, Halmashauri ya Itigi

Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhe Dkt Rehema Nchimbi akizungumza kwa njia ya simu na mmiliki wa kiwanda cha uzalishaji unga wa Gypsum cha Sanjaranda Bw Rashid Said Rashid akiwa Dar es salaam ambaye alimuhakikishia Mkuu wa Mkoa kuwa mpaka kufikia Januari 2018 uzalishaji wa Gypsum utaanza katika eneo la Sanjaranda, Halmashauri ya Itigi ili kurahisisha huduma hiyo.

Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhe Dkt Rehema Nchimbi akiwa kwenye shamba la Mkulima Juma Patrick na kujionea mikorosho inavyoharibika kwa kukosa dawa ambapo alizungumza kwa njia ya simu na muwakilishi wa Bodi ya Korosho akiwa Dar es salaam ambaye alimuhakikishia Mkuu wa Mkoa kuwa dawa za kuua wadudu kwenye Mikorosho zitawasili kati ya Jumanne Septemba 26 na Jumatano 27, 2017

Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhe Dkt Rehema Nchimbi akionyesha chaki bora zinazozalishwa Wilayani Manyoni Mkoani Singida

Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhe Dkt Rehema Nchimbi akisalimiana na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Itigi Mhe Ally Minja mara baada ya kuwasili Kwa ajili ya kutembelea Kiwanda vya usagaji unga wa Gypsum na uzalishaji chaki.

Miongoni wafanyakazi wa kiwanda cha Uzalishaji chaki cha Dober Color wakiendelea na kazi wakati wa ziara ya Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhe Dkt Rehema Nchimbi

WAKURUGENZI MKOANI SINGIDA WAAGIZWA KUNUNUA CHAKI ZINAZOZALISHWA MKOANI HUMO

Hivyo makala Matukio : Wakurugenzi Mkoani Singida waagizwa kununua Chaki zinazozalishwa Mkoni Humo

yaani makala yote Matukio : Wakurugenzi Mkoani Singida waagizwa kununua Chaki zinazozalishwa Mkoni Humo Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Matukio : Wakurugenzi Mkoani Singida waagizwa kununua Chaki zinazozalishwa Mkoni Humo mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/matukio-wakurugenzi-mkoani-singida.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Matukio : Wakurugenzi Mkoani Singida waagizwa kununua Chaki zinazozalishwa Mkoni Humo"

Post a Comment

Loading...