Loading...

MISA TANZANIA YASHEREHEKEA SIKU YA KUPATA TAARIFA KWA KUZINDUA RIPOTI YA UTAFITI NA KUTOA TUZO KWA WASHINDI

Loading...
MISA TANZANIA YASHEREHEKEA SIKU YA KUPATA TAARIFA KWA KUZINDUA RIPOTI YA UTAFITI NA KUTOA TUZO KWA WASHINDI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MISA TANZANIA YASHEREHEKEA SIKU YA KUPATA TAARIFA KWA KUZINDUA RIPOTI YA UTAFITI NA KUTOA TUZO KWA WASHINDI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MISA TANZANIA YASHEREHEKEA SIKU YA KUPATA TAARIFA KWA KUZINDUA RIPOTI YA UTAFITI NA KUTOA TUZO KWA WASHINDI
link : MISA TANZANIA YASHEREHEKEA SIKU YA KUPATA TAARIFA KWA KUZINDUA RIPOTI YA UTAFITI NA KUTOA TUZO KWA WASHINDI

soma pia


MISA TANZANIA YASHEREHEKEA SIKU YA KUPATA TAARIFA KWA KUZINDUA RIPOTI YA UTAFITI NA KUTOA TUZO KWA WASHINDI

Wadau wa habari nchini wameomba kupata taarifa iwe ni haki ya kila mtu ambayo inapaswa kulindwa kwa nguvu  zote na ni kiashiria kimoja wapo cha serikali yenye uwazi na inayothamini mchango na ushiriki wa wananchi wake katika ujenzi wa taifa.
Wakizungumza kwa nyakati tofauti, katika maadhimisho ya siku ya kimataifa ya upatikanaji wa habari yaliyofanyika jijini Dar es Salaam, wamesema kila mtu ana haki ya kupokea na kutoa taarifa ili mradi tu asiende nje ya swala husika.
Wamesema kuwa, lengo la maadhimisho hayo ni kuongeza uelewa kwa wananchi juu ya haki ya kila mtu na kupata taarifa muhimu kwa Maisha yao ikiwa ndani ya hifadhi ya Serikali na kwingineko, namna viongozi waliyochaguliwa na wanavyotekeleza majukumu yao.

Katika maadhimisho hayo MISA-TAN walikabidhi tuzo kwa taasisi mbali mbali za umma zinazotoa taarifa kwa uwazi na zile zinazobana taarifa. Kwa mwaka 2017, Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) umeibuka mshindi wa kwanza kwa utoaji na upatikanaji taarifa kwenye taasisi za umma na taasisi iliyokuwa mshindi wa mwisho ni Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) baada ya kubainika kuwa inabana taarifa.  Kauli mbiu ya mwaka huu ni 'Kila Mtanzania Anayo Haki Ya Kupewa Taarifa."
Kaimu Balozi wa Uholanzi nchini Tanzania. Bi. Lianne Houben akizungumzia jinsi ubalozi unavyofanya kazi na taasisi za habari hapa nchini ili kuweza kufanikisha upatikanaji wa habari kwa wananchi nchini Tanzania.
Wageni waalikwa wakisimama kwa kuwakumbuka waandishi waliyopoteza maisha katika maadhimisho ya kwanza Siku ya Kimataifa ya Upatikanaji wa Taarifa yaliyofanyika leo Dar es Salaam, Tanzania.
Mwenyekiti wa Umoja wa Haki ya Kupata Taarifa (CoRI), Kajubi Mukajanga akiakitoa utangulizi kuhusu upatikanaji wa taarifa kwa wananchi nchini Tanzania kwenye siku ya maadhimisho ya kimataifa ya upatikanaji wa taarifa leo jijini Dar es Salaam. 
Baadhi ya wadau mbalimbali wachangia mada kwenye maadhimisho ya siku ya kimataifa ya upatikanaji wa habari.
KWA PICHA ZAIDI BODYA HAPA.


Hivyo makala MISA TANZANIA YASHEREHEKEA SIKU YA KUPATA TAARIFA KWA KUZINDUA RIPOTI YA UTAFITI NA KUTOA TUZO KWA WASHINDI

yaani makala yote MISA TANZANIA YASHEREHEKEA SIKU YA KUPATA TAARIFA KWA KUZINDUA RIPOTI YA UTAFITI NA KUTOA TUZO KWA WASHINDI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MISA TANZANIA YASHEREHEKEA SIKU YA KUPATA TAARIFA KWA KUZINDUA RIPOTI YA UTAFITI NA KUTOA TUZO KWA WASHINDI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/misa-tanzania-yasherehekea-siku-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MISA TANZANIA YASHEREHEKEA SIKU YA KUPATA TAARIFA KWA KUZINDUA RIPOTI YA UTAFITI NA KUTOA TUZO KWA WASHINDI"

Post a Comment

Loading...