Loading...
title : Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Shein Aendelea na Ziara Yake Nchini Djbouti Atembelea Kampuni ya Simu ya Telecom.
link : Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Shein Aendelea na Ziara Yake Nchini Djbouti Atembelea Kampuni ya Simu ya Telecom.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Shein Aendelea na Ziara Yake Nchini Djbouti Atembelea Kampuni ya Simu ya Telecom.
Rais wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akiuliza suala wakati alipotembelea kampuni ya Simu ya Telecom Nchini Djibouti akiwa katika ziara ya kiserikali kwa mualiko wa Rais wa nchi hiyo Mhe,Ismail Omar Guelleh
Rais wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akipata maelezo kutoka kwa Waziri wa Mawasiliano na huduma za Mitandao Bw.Abdi Youssoef wakati alipotembelea katika Ofisi ya kampuni Telecom Nchini Djibouti akiwa katika ziara ya kiserikali kwa mualiko wa Rais wa nchi hiyo Mhe,Ismail Omar Guelleh
Rais wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akipata maelezo kutoka kwa ofisa wa kampuni ya Simu ya Telecom Nchini Djibouti wakati alipotembelea katika Ofisi ya kampuni hiyo akiwa katika ziara ya kiserikali kwa mualiko wa Rais wa nchi hiyo Mhe,Ismail Omar Guelleh[Picha na Ikulu.]
Hivyo makala Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Shein Aendelea na Ziara Yake Nchini Djbouti Atembelea Kampuni ya Simu ya Telecom.
yaani makala yote Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Shein Aendelea na Ziara Yake Nchini Djbouti Atembelea Kampuni ya Simu ya Telecom. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Shein Aendelea na Ziara Yake Nchini Djbouti Atembelea Kampuni ya Simu ya Telecom. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/rais-wa-zanzibar-na-mwenyekiti-wa_9.html
0 Response to "Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Shein Aendelea na Ziara Yake Nchini Djbouti Atembelea Kampuni ya Simu ya Telecom."
Post a Comment