Loading...
title : MKAZI WA MWANZA IMANI MAKUNDI ATUSUA TSH 15M ZA VODACOM TANZANIA PLC
link : MKAZI WA MWANZA IMANI MAKUNDI ATUSUA TSH 15M ZA VODACOM TANZANIA PLC
MKAZI WA MWANZA IMANI MAKUNDI ATUSUA TSH 15M ZA VODACOM TANZANIA PLC
Mshindi wa Sh 15 Milioni kupitia promosheni ya Tusua Mapene inayoendeshwa na Vodacom Tanzania PLC,Bw. Imani Makundi, akifurahia kwenye duka la kampuni hiyo lililopo PPF jijini Mwanza jana baada ya kukabidhiwa kitita chake.
Meneja Mauzo na Usambazaji wa Vodacom Tanzania Mkoa wa Mwanza Victoria Chale(kulia) akimakabidhi pesa zake Mshindi wa Sh 15 Milioni ya promosheni ya Tusua Mapene Imani Makundi, kwenye hafla iliyofanyika jijii Mwanza jana.
Imani Makundi ambaye ni Mshindi wa Sh 15 Milioni kupitia promosheni ya Tusua Mapene inayoendeshwa na Vodacom Tanzania PLC, Akiondoka na kitita chake huku akifurahia jambo na wateja wa Vodacom Tanzania kwenye duka la kampuni hiyo lililopo PPF jijini Mwanza jana baada ya kukabidhiwa kitita chake na Meneja Mauzo na Usambazaji wa Vodacom Tanzania Mkoa wa Mwanza Victoria Chale(Hayupo pichani) .
Hivyo makala MKAZI WA MWANZA IMANI MAKUNDI ATUSUA TSH 15M ZA VODACOM TANZANIA PLC
yaani makala yote MKAZI WA MWANZA IMANI MAKUNDI ATUSUA TSH 15M ZA VODACOM TANZANIA PLC Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MKAZI WA MWANZA IMANI MAKUNDI ATUSUA TSH 15M ZA VODACOM TANZANIA PLC mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/mkazi-wa-mwanza-imani-makundi-atusua.html
0 Response to "MKAZI WA MWANZA IMANI MAKUNDI ATUSUA TSH 15M ZA VODACOM TANZANIA PLC"
Post a Comment