Loading...

MKURUGENZI MKUU WA FAO AWASILI NCHINI KWA ZIARA YA KIKAZI LEO

Loading...
MKURUGENZI MKUU WA FAO AWASILI NCHINI KWA ZIARA YA KIKAZI LEO - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MKURUGENZI MKUU WA FAO AWASILI NCHINI KWA ZIARA YA KIKAZI LEO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MKURUGENZI MKUU WA FAO AWASILI NCHINI KWA ZIARA YA KIKAZI LEO
link : MKURUGENZI MKUU WA FAO AWASILI NCHINI KWA ZIARA YA KIKAZI LEO

soma pia


MKURUGENZI MKUU WA FAO AWASILI NCHINI KWA ZIARA YA KIKAZI LEO



José Graziano da Silva mkurugenzi mkuu wa Shirika la Chakula Dunia (FAO) akiongea na wenyeji wake baada ya kuwasili uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Dar es Salaam leo kwa ziara ya kikazi. Kushoto ni Mwenyeji wake Mwakilishi mkazi wa FAO, Fred Kafeero. (Imreandaliwa na Robert Okanda Blogspot)

José Graziano da Silva Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Chakula Dunia (FAO) akitambulishwa kwa Katibu wa Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Joseph Rubiro baada ya kuwasili katika Uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Dar es Salaam leo kwa ziara ya kikazi. Anayetoa utambulisho ni ni Mwenyeji wake Mwakilishi mkazi wa FAO, Fred Kafeero.

José Graziano da Silva mkurugenzi mkuu wa Shirika la Chakula Dunia (FAO) akiongea na wenyeji wake baada ya kuwasili uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Dar es Salaam leo kwa ziara ya kikazi. Kushoto ni Mwenyeji wake Mwakilishi mkazi wa FAO, Fred Kafeero.

José Graziano da Silva mkurugenzi mkuu wa Shirika la Chakula Dunia (FAO) akisalimiana na Mratibu mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa UNDP, Alvero Rodriguez, baada ya kuwasili uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Dar es Salaam leo kwa ziara ya kikazi. Katikati ni Mwenyeji wake Mwakilishi mkazi wa FAO, Fred Kafeero.

José Graziano da Silva mkurugenzi mkuu wa Shirika la Chakula Dunia (FAO) akielekea kupanda gari tayari kuanza kwa msafara wake baada ya baada ya kuwasili uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Dar es Salaam leo kwa ziaraya kikazi. Pamoja nao ni Mratibu mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa UNDP, Alvero Rodriguez (wa pili kushoto) Mkurugenzi Msaidizi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Jestus Nyamanga na Mwambata wa FAO kutoka Roma Italia, Meshack Malo (kulia).

José Graziano da Silva Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Chakula Dunia (FAO) akitambulishwa Msaidizi wa Mwakilishi wa FAO Tanzania (Utawala) na Msaidizi Mwenza (Programu) Charles Tulahi baada ya kuwasili katika Uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Dar es Salaam leo kwa ziara ya kikazi. Anayetoa utambulisho ni ni Mwenyeji wake Mwakilishi mkazi wa FAO, Fred Kafeero.


Hivyo makala MKURUGENZI MKUU WA FAO AWASILI NCHINI KWA ZIARA YA KIKAZI LEO

yaani makala yote MKURUGENZI MKUU WA FAO AWASILI NCHINI KWA ZIARA YA KIKAZI LEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MKURUGENZI MKUU WA FAO AWASILI NCHINI KWA ZIARA YA KIKAZI LEO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/mkurugenzi-mkuu-wa-fao-awasili-nchini.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MKURUGENZI MKUU WA FAO AWASILI NCHINI KWA ZIARA YA KIKAZI LEO"

Post a Comment

Loading...