Loading...
title : Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu azungumza na maafisa habari wa taasisi za serikali
link : Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu azungumza na maafisa habari wa taasisi za serikali
Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu azungumza na maafisa habari wa taasisi za serikali
Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu Hassan Khatib akizungumza na Maafsa Habari wa Taasisi mbalimbali za Serikali kuhusiana na Utoaji wa Habari za maendeleo katika Taasisi zao kikao kilichofanyika Baraza la Wawakilishi la Zamani Kikwajuni mjini Zanzibar.
Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu Hassan Khatib akizungumza na Maafsa Habari wa Taasisi mbalimbali za Serikali kuhusiana na Utoaji wa Habari za maendeleo katika Taasisi zao kikao kilichofanyika Baraza la Wawakilishi la Zamani Kikwajuni mjini Zanzibar.
Afisa wa Habari kutoka Ofisi ya Mtakwimu mkuu wa Serikali Salama Njani akitoa mchango wake katika kikao cha maafsa habari kutoka Taasisi mbalimbali kuhusiana na Utoaji wa Habari za maendeleo katika Taasisi zao kikao kilichofanyika Baraza la Wawakilishi la Zamani Kikwajuni mjini Zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.
Hivyo makala Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu azungumza na maafisa habari wa taasisi za serikali
yaani makala yote Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu azungumza na maafisa habari wa taasisi za serikali Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu azungumza na maafisa habari wa taasisi za serikali mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/mkurugenzi-wa-mawasiliano-ikulu.html
0 Response to "Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu azungumza na maafisa habari wa taasisi za serikali"
Post a Comment