Loading...
title : MOURINHO ANATAKA KAZI TU, ASISITIZA DE GEA ATADAKA MICHUANO YA ULAYA
link : MOURINHO ANATAKA KAZI TU, ASISITIZA DE GEA ATADAKA MICHUANO YA ULAYA
MOURINHO ANATAKA KAZI TU, ASISITIZA DE GEA ATADAKA MICHUANO YA ULAYA
mwambawahabari
Wakati Manchester United ikitarajia kucheza mchezo wake wa kwanza wa Ligi ya Mabingwa msimu huu, leo Jumanne, kocha wa timu hiyo, Jose Mourinho amethibitisha kuwa hakutakuwa na mfumo wa kupokezana makipa kama ilivyokuwa msimu uliopita.
Mourinho amethibitisha kuwa David de Gea ndiye ambaye ataanza katika kikosi cha kwanza cha timu yake dhidi ya Basle.
Msimu uliopita, asilimia kubwa ya michezo ya Ulaya kipa aliyetumika kikosini hapo alikuwa ni Sergio Romero lakini safari hii Mourinho ameonyesha kuwa hana mpango huo.
Amesema sababu kubwa ya kufanya hivyo ni kwa kuwa De Gea yupo vizuri kwa sasa na hapendi kuwapangia makipa michuano ya kucheza
Hivyo makala MOURINHO ANATAKA KAZI TU, ASISITIZA DE GEA ATADAKA MICHUANO YA ULAYA
yaani makala yote MOURINHO ANATAKA KAZI TU, ASISITIZA DE GEA ATADAKA MICHUANO YA ULAYA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MOURINHO ANATAKA KAZI TU, ASISITIZA DE GEA ATADAKA MICHUANO YA ULAYA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/mourinho-anataka-kazi-tu-asisitiza-de.html
0 Response to "MOURINHO ANATAKA KAZI TU, ASISITIZA DE GEA ATADAKA MICHUANO YA ULAYA"
Post a Comment