Loading...
title : Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli Amjulia Hali Meja Jenerali Mstaafu Vicent Mritaba Aliyejeruhiwa Kwa Risasi
link : Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli Amjulia Hali Meja Jenerali Mstaafu Vicent Mritaba Aliyejeruhiwa Kwa Risasi
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli Amjulia Hali Meja Jenerali Mstaafu Vicent Mritaba Aliyejeruhiwa Kwa Risasi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na mtoto Nathan Martin wakati akitoka kumjulia hali Meja jenerali Mstaafu Vicent Mritaba aliyelazwa Hospitali ya Jeshi Lugalo jijini Dar es salaam alikolazwa akitibiwa majeraha baada ya kushambuliwa kwa risasi mkononi, tumboni na kiunoni wakati anaingia nyumbani kwake Ununio wilaya ya Kinondoni jijini Dar es salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimsikiliza Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Venance Mabeyo baada ya kumjulia hali Meja Jenerali Mstaafu Vicent Mritaba aliyelazwa Hospitali ya Jeshi Lugalo jijini Dar es salaam alikolazwa akitibiwa majeraha baada ya kushambuliwa kwa risasi mkononi, tumboni na mguuni wakati anaingia nyumbani kwake Ununio wilaya ya Kinondoni jijini Dar es salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na Mwalimu Aloys Konolipa wa Shule ya Msingi Kidugalo wilayani Kisarawe Mkoa wa Pwani alipopita kuwapa pole wagonjwa wengine baada ya kumjulia hali Meja Jenerali Mstaafu Vicent Mritaba aliyelazwa Hospitali ya Jeshi Lugalo jijini Dar es salaam alikolazwa akitibiwa majeraha baada ya kushambuliwa kwa risasi mkononi, tumboni na kiunoni wakati akiingia nyumbani kwake Ununio wilaya ya Kinondoni.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli pamoja na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Venance Mabeyo (kushoto) na Brigedia Jenerali Dkt. Paul Massawe Meja Jenerali Mstaafu Vicent Mritaba akielezea alivyoshambuliwa kwa risasi mkononi, tumboni na mguuni wakati akiingia nyumbani kwake Ununio wilaya ya Kinondoni jijini Dar es salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli pamoja na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Venance Mabeyo (kushoto) na Brigedia Jenerali Dkt. Paul Massawe Meja Jenerali Mstaafu Vicent Mritaba akielezea alivyoshambuliwa kwa risasi mkononi, tumboni na mguuni wakati akiingia nyumbani kwake Ununio wilaya ya Kinondoni jijini Dar es salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli pamoja na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Venance Mabeyo (kushoto) na Brigedia Jenerali Dkt. Paul Massawe wakiangalia majeraha aliyopata Meja Jenerali Mstaafu Vicent Mritaba baada ya kushambuliwa kwa risasi mkononi, tumboni na kiunoni wakati anaingia nyumbani kwake Ununio wilaya ya Kinondoni jijini Dar es salaam.(Picha na Ikulu)
Hivyo makala Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli Amjulia Hali Meja Jenerali Mstaafu Vicent Mritaba Aliyejeruhiwa Kwa Risasi
yaani makala yote Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli Amjulia Hali Meja Jenerali Mstaafu Vicent Mritaba Aliyejeruhiwa Kwa Risasi Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli Amjulia Hali Meja Jenerali Mstaafu Vicent Mritaba Aliyejeruhiwa Kwa Risasi mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/rais-wa-jamuhuri-ya-muungano-wa_12.html
0 Response to "Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli Amjulia Hali Meja Jenerali Mstaafu Vicent Mritaba Aliyejeruhiwa Kwa Risasi"
Post a Comment