Loading...

MSANII LULU DIVA KUSHIRIKISHWA NGOMA MPYA NA MZIMBABWE

Loading...
MSANII LULU DIVA KUSHIRIKISHWA NGOMA MPYA NA MZIMBABWE - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MSANII LULU DIVA KUSHIRIKISHWA NGOMA MPYA NA MZIMBABWE, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MSANII LULU DIVA KUSHIRIKISHWA NGOMA MPYA NA MZIMBABWE
link : MSANII LULU DIVA KUSHIRIKISHWA NGOMA MPYA NA MZIMBABWE

soma pia


MSANII LULU DIVA KUSHIRIKISHWA NGOMA MPYA NA MZIMBABWE

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Lulu Abbas maarufu kama "Luludiva" amekuwa akiendelea kujikusanyia lundo la mashabiki wa kazi zake kwa muda mfupi aliokaa kwenye game, ndani na nje ya nchi kutokana na jitihada zake katika muziki, huku nyimbo zake zikifanya vizuri katika media mbalimbali za hapa nchini, Afrika Mashariki, Nigeria, South Africa na Congo

Kwa Mara ya kwanza amefanikiwa kupata collabo ya kimataifa, akishirikishwa na msanii maarufu kutoka nchini Zimbambwe ambaye yupo chini ya label ya Military touch inayomilikiwa na msanii Jah Prayzah aliyefanya nyimbo na Diamond Platnum.

Akizungumza na Ripota wa Globu ya Jamii, Lulu diva ameyazungumza haya, "Jah Prayzah najuana naye toka naenda South Africa kufanya video ya  nyimbo yangu ya pili ya Usimwache, aliniambia anakuja Tanzania akifika tuonane na alipofika alinitafuta na kuniomba nifanye collabo na msanii wake Exq ambaye yupo chini yake" alisema Lulu diva.

Aliendelea kusema kuwa "Alinisikilizisha nyimbo nikaiona ni nzuri na mimi naweza fanya kitu kizuri, kwa hiyo sikusita kutoa jibu nilikubali hapo hapo sababu niliona nitapata faida hasa kwa kuongeza kundi lingine la mashabiki kutoka Zimbabwe". 

Lulu diva alisema kuwa walifikia muafana na muandaaji huyo na kufanya nyimbo hiyo na muda wowote itaanza kusikika katika redio na televisheni mbalimbali hapa nchini.  hiyo anawaomba mashabiki wake wawe tayari kusikia na kuona.

Nyimbo hiyo imefanywa na Maproducer wakubwa watatu ambao ni
Producer wao: Tamuka huku kwa upande wa Tanzania ni: Abbydady, Tuddy Thomas.


Hivyo makala MSANII LULU DIVA KUSHIRIKISHWA NGOMA MPYA NA MZIMBABWE

yaani makala yote MSANII LULU DIVA KUSHIRIKISHWA NGOMA MPYA NA MZIMBABWE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MSANII LULU DIVA KUSHIRIKISHWA NGOMA MPYA NA MZIMBABWE mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/msanii-lulu-diva-kushirikishwa-ngoma.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MSANII LULU DIVA KUSHIRIKISHWA NGOMA MPYA NA MZIMBABWE"

Post a Comment

Loading...