Loading...
title : MAJALIWA AFUNGUA VITUO VYA POLISI MBURAHATI, KILUVYA NA MBWENI - DAR
link : MAJALIWA AFUNGUA VITUO VYA POLISI MBURAHATI, KILUVYA NA MBWENI - DAR
MAJALIWA AFUNGUA VITUO VYA POLISI MBURAHATI, KILUVYA NA MBWENI - DAR
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikata utepe kufungua Kituo cha Polisi cha Kiluvya wilayani Ubungo Mei 24, 2018. Wapili kushoto ni Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhadisi, Hamad masauni na wanne kukhoto ni Inspekta Jenerali wa Polisi, Simon Siro, Kushoto ni Kaimu Mkuu wa Mkoa a Dar es salaam na Mkuu wa wilaya ya Temeke, Felix Lyaniva. (Picha na Ofiosi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Inspekta Jenerali wa Polisi, Simon Siro baada ya kufungua Kituo cha Polisi cha Mbweni, Wilaya ya Kipolisi Kawe, Mei 24, 2018. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)
Baadhi ya mwananchi waliohudhuria katika ufunguzi wa Kituo cha Polisi cha Mbweni , jijini Dar es salaam wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipofungua kituo hicho, Mei 24, 2018.
Inspekta Jenerali wa Polisi, Simon Siro akizungumza wakati Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipofungua Kituo cha Polisi cha Mbweni ,jijini Dar es salaam, Mei 24, 2018. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamd Masauni akizungumza wakati Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipofungua Kituo cha Polisi cha Mbweni , jijini Dar es salaam, Mei 24, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hivyo makala MAJALIWA AFUNGUA VITUO VYA POLISI MBURAHATI, KILUVYA NA MBWENI - DAR
yaani makala yote MAJALIWA AFUNGUA VITUO VYA POLISI MBURAHATI, KILUVYA NA MBWENI - DAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAJALIWA AFUNGUA VITUO VYA POLISI MBURAHATI, KILUVYA NA MBWENI - DAR mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/05/majaliwa-afungua-vituo-vya-polisi_24.html
0 Response to "MAJALIWA AFUNGUA VITUO VYA POLISI MBURAHATI, KILUVYA NA MBWENI - DAR"
Post a Comment