Loading...

MTU ASIYEJULIKANA ATUPA KITOTO KICHANGA MTONI .

Loading...
MTU ASIYEJULIKANA ATUPA KITOTO KICHANGA MTONI . - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MTU ASIYEJULIKANA ATUPA KITOTO KICHANGA MTONI ., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MTU ASIYEJULIKANA ATUPA KITOTO KICHANGA MTONI .
link : MTU ASIYEJULIKANA ATUPA KITOTO KICHANGA MTONI .

soma pia


MTU ASIYEJULIKANA ATUPA KITOTO KICHANGA MTONI .

Mwambawahabari 

Mwili wa mtoto ambaye anakadiriwa kuwa na umri wa siku moja umeokotwa kwenye mfereji wa kupitisha maji machafu katika eneo la Mtaa wa Ali Nyanya kata ya Ungalimited jijini Arusha.

Kichanga hicho kimeonekana kutekelezwa na mama yake mzazi mara tu baada ya kujifungua na kupelekea kupoteza maisha, baadhi ya wananchi wa eneo hilo wamelaani kitendo hicho cha kinyama na kikatili kinachofanywa na baadhi ya wanawake wasiokuwa na hofu ya Mungu ndani yao ambao wanakatisha uhai wa watoto hao ambao hawana hatia.

Mwenyekiti wa Mtaa huo Omari Shehe naye amelaani kitendo hicho na kuahidi kushirikiana na vyombo vya dola kuhakikisha wanamtafuta muhisika ambaye amefanya tukio hilo la kinyama ili iwe fundisho kwa watu wengine wenye tabia hizo za kufanya uovu na ukatili huo.

Vitendo vya watu kutekeleza watoto vimekuwa vikishamiri katika maeneo mbalimbali ya nchi huku wengi wakionekana kufanya ukatili huo kutokana na baadhi ya wanaume kukataa watoto au ujazito jambo ambalo hata hivyo halikubaliki.


Hivyo makala MTU ASIYEJULIKANA ATUPA KITOTO KICHANGA MTONI .

yaani makala yote MTU ASIYEJULIKANA ATUPA KITOTO KICHANGA MTONI . Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MTU ASIYEJULIKANA ATUPA KITOTO KICHANGA MTONI . mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/mtu-asiyejulikana-atupa-kitoto-kichanga.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MTU ASIYEJULIKANA ATUPA KITOTO KICHANGA MTONI ."

Post a Comment

Loading...