Loading...
Loading...
- Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa , tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title :
link :

soma pia


Mwambawahabari

Wajawazito katika Wilaya ya Kyerwa, Kagera wameeleza changamoto kubwa wanayokumbana nayo wanapohudhuria katika moja ya Kituo cha Afya Nkwenda kwa kulala sakafuni kutokana na uchakavu na ukosefu wa vitanda. 

Kupitia changamoto hiyo serikali ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania imetoa msaada wa malazi katika kituo hicho kwa ajili ya kuwapunguzia changamoto zinazowakabili. 

Akikabidhi msaada huo mbunge wa jimbo hilo Innocent Bilakwate,amesema kuwa serikali imetoa vitanda 20,magodoro 20 na mashuka 50,na kuwasihi walengwa kuvitumia kwa umakini ili viweze kudumu ikiwa ni njia mojawapo ya kupunguza changamoto ya malazi katika kituo hicho.


Hivyo makala

yaani makala yote Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/mwambawahabari-wajawazito-katika-wilaya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to " "

Post a Comment

Loading...