Loading...
title : MWANDISHI WA ITV, SPENCER LAMECK NTONGWE AAGA UKAPERA.
link : MWANDISHI WA ITV, SPENCER LAMECK NTONGWE AAGA UKAPERA.
MWANDISHI WA ITV, SPENCER LAMECK NTONGWE AAGA UKAPERA.
Mwandishi wa kituo wa Cha Televisheni ya ITV, Spencer Lameck Ntongwe akisaini cheti ya ndoa na mke wake Suzan Swila katika Kanisa la TAG Kinondoni Revival Church jijini Dar es Salaam.
Mwandishi wa kituo wa Cha Televisheni ya ITV, Spencer Lameck Ntongwe akimvisha pete mke wake Suzan Spencer Ntongwe katika Kanisa la TAG Kinondoni Revival Church jijini Dar es Salaam.
Mwandishi wa kituo wa Cha Televisheni ya ITV, Spencer Lameck Ntongwe akivishwa pete ya ndoa na mke wake Suzan Swila katika kanisa la TAG Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Mwandishi wa kituo wa Cha Televisheni ya ITV, Spencer Lameck Ntongwe akimlisha keki mke wake Suzan Swila mara baada ya kufunga pingu za maisha katika kanisa la TAG Kinondoni jijini Dar es Salaam na tafrija iliyofanyika katika ukumbi wa Blue Pear Ubungo.
Hivyo makala MWANDISHI WA ITV, SPENCER LAMECK NTONGWE AAGA UKAPERA.
yaani makala yote MWANDISHI WA ITV, SPENCER LAMECK NTONGWE AAGA UKAPERA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MWANDISHI WA ITV, SPENCER LAMECK NTONGWE AAGA UKAPERA. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/mwandishi-wa-itv-spencer-lameck-ntongwe.html
0 Response to "MWANDISHI WA ITV, SPENCER LAMECK NTONGWE AAGA UKAPERA."
Post a Comment