Loading...
title : MWENYEKITI WA BODI YA TPC AKUTANA NA MENEJIMENTI NA VIONGOZI WA VYAMA VYA WAFANYAKAZI, DAR ES SALAAM
link : MWENYEKITI WA BODI YA TPC AKUTANA NA MENEJIMENTI NA VIONGOZI WA VYAMA VYA WAFANYAKAZI, DAR ES SALAAM
MWENYEKITI WA BODI YA TPC AKUTANA NA MENEJIMENTI NA VIONGOZI WA VYAMA VYA WAFANYAKAZI, DAR ES SALAAM
Ofisa Mtendaji Mkuu wa TPC, Deo Kwiyukwa, akizungumza katika mkutano huo na kisha kumkaribisha Mwenyekiti wa Bodi ya TPC, Dk. Harun Kondo (katikati), kuzungumza na Menejimenti na Viongozi wa Vyama vya Wafanyakazi wa shirika hilo, jijini Dar es Salaam leo.
Mwenyekiti wa Bodi ya TPC, Dk. Harun Kondo, akifafanua jambo wakati wa akizungumza na Menejimenti na Viongozi wa Vyama vya Wafanyakazi wa TPC, Dar es Salaam leo. Kushoto ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa TPC, Deo Kwiyukwa.
Mwenyekiti wa Bodi ya TPC, Dk. Harun Kondo (wa pili kulia), kuzungumza na Menejimenti na Viongozi wa Vyama vya Wafanyakazi wa TPC, jijini Dar es Salaam leo. Kushoto ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa TPC, Deo Kwiyukwa na kulia ni Kaimu Katibu wa Shirika, Zuhuru Pinde.
Baadhi ya viongozi wa Vyama vya wafanyakazi wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), wakiandika maelezo yaliyokuwa yakitolewa na Mwenyekiti wa Bodi ya TPC, Dk. Harun Kondo, wakati akizungumza nao pamoja na Menejimenti ya TPC, jijini Dar es Salaam leo.
Hivyo makala MWENYEKITI WA BODI YA TPC AKUTANA NA MENEJIMENTI NA VIONGOZI WA VYAMA VYA WAFANYAKAZI, DAR ES SALAAM
yaani makala yote MWENYEKITI WA BODI YA TPC AKUTANA NA MENEJIMENTI NA VIONGOZI WA VYAMA VYA WAFANYAKAZI, DAR ES SALAAM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MWENYEKITI WA BODI YA TPC AKUTANA NA MENEJIMENTI NA VIONGOZI WA VYAMA VYA WAFANYAKAZI, DAR ES SALAAM mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/mwenyekiti-wa-bodi-ya-tpc-akutana-na.html
0 Response to "MWENYEKITI WA BODI YA TPC AKUTANA NA MENEJIMENTI NA VIONGOZI WA VYAMA VYA WAFANYAKAZI, DAR ES SALAAM"
Post a Comment