Loading...
title : MWILI WA MSANII MAREHEMU MOHAMEDI IDDI MTURUMA KUWASILI DAR JUMAMOSI 30-09-2017 USIKU KUTOKEA NCHINI SPAIN
link : MWILI WA MSANII MAREHEMU MOHAMEDI IDDI MTURUMA KUWASILI DAR JUMAMOSI 30-09-2017 USIKU KUTOKEA NCHINI SPAIN
MWILI WA MSANII MAREHEMU MOHAMEDI IDDI MTURUMA KUWASILI DAR JUMAMOSI 30-09-2017 USIKU KUTOKEA NCHINI SPAIN
Marehemu Mohamedi Idi Mturuma (Muddy)
Umoja wa Tanzania Ujerumani(UTU) ukishirikiana na watanzania wanaoishi Ujerumani na Spain ,unawajulisha ndugu,jamaa,marafiki ,wapenzi na watanzania wote kuwa mwili wa msanii marehemu Muhamedi Iddi Mturuma aka MUDDY utasafirishwa siku ya ijumaa 29-09-2017 na utafika siku ya jumamosi 30-09-2017 saa 8.30(saa nane na nusu) Usiku wa kuamkia Jumapili katika uwanja wa ndege wa JKN Dar-es-salaam,mazishi yatafanyika nyumbani kwa marehemu huko Mbezi ya Kimara,na taratibu za maziko mnaweza kupiga simu namba 0653319069 au 0656210725 ili kujua lini mazishi yatafanyika,mwili a marehemu utafuatana na rafiki yake kipenzi msanii Mussa Selemani aka MOSES FAB anayeishi Uingereza .
Marehemu Mohamedi Iddi Mturuma "MUDDY" alikuwa anaishi nchini ujerumani na umauti ulimfika siku ya 18.09.2017 nchini Spain ambako alikwenda kufanya shughuli zake za usanii wa sarakasi.
Allah amlaze mahala pema peponi- AMIIN
Hivyo makala MWILI WA MSANII MAREHEMU MOHAMEDI IDDI MTURUMA KUWASILI DAR JUMAMOSI 30-09-2017 USIKU KUTOKEA NCHINI SPAIN
yaani makala yote MWILI WA MSANII MAREHEMU MOHAMEDI IDDI MTURUMA KUWASILI DAR JUMAMOSI 30-09-2017 USIKU KUTOKEA NCHINI SPAIN Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MWILI WA MSANII MAREHEMU MOHAMEDI IDDI MTURUMA KUWASILI DAR JUMAMOSI 30-09-2017 USIKU KUTOKEA NCHINI SPAIN mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/mwili-wa-msanii-marehemu-mohamedi-iddi.html
0 Response to "MWILI WA MSANII MAREHEMU MOHAMEDI IDDI MTURUMA KUWASILI DAR JUMAMOSI 30-09-2017 USIKU KUTOKEA NCHINI SPAIN"
Post a Comment