Loading...
title : CCM YAHITIMISHA MAFUNZO ELEKEZI YA SIKU MBILI KWA MAKATIBU WA CCM MIKOA YA TANZANIA BARA NA VISIWANI MJINI DODOMA.
link : CCM YAHITIMISHA MAFUNZO ELEKEZI YA SIKU MBILI KWA MAKATIBU WA CCM MIKOA YA TANZANIA BARA NA VISIWANI MJINI DODOMA.
CCM YAHITIMISHA MAFUNZO ELEKEZI YA SIKU MBILI KWA MAKATIBU WA CCM MIKOA YA TANZANIA BARA NA VISIWANI MJINI DODOMA.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi, Humphrey Polepole (wa pili kushoto) akiongoza nyimbo ya hamasa mara baada ya Katibu Mkuu wa CCM ndg:Abdulrahman Kinana kuwasili kufunga mafunzo elekezi ya siku mbili kwa Makatibu wa Mikoa CCM tanzania bara na Visiwani yaliofanyika katika Ukumbi wa sekretariet katika jengo la ofisi ya makao makuu ya CCM mjini Dodoma.
Katibu Mkuu wa CCM ndg:Abdulrahman Kinana akifunga mafunzo elekezi ya siku mbili kwa Makatibu wa Mikoa CCM tanzania bara na Visiwani (kulia) ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rodrick Mpogolo(kushoto) Naibu Katibu Mkuu wa CCM- Zanzibar Dkt. Abdallah Juma Mabodi .
Katibu Mkuu wa CCM ndg:Abdulrahman Kinana akifunga mafunzo elekezi ya siku mbili kwa Makatibu wa Mikoa CCM tanzania bara na Visiwani yaliofanyika katika Ukumbi wa sekretariet katika jengo la ofisi ya makao makuu ya CCM mjini Dodoma.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rodrick Mpogolo akizungumza wakati wa kufunga mafunzo elekezi ya siku mbili kwa Makatibu wa Mikoa CCM tanzania bara na Visiwani yaliofanyika katika Ukumbi wa sekretariet katika jengo la ofisi ya makao makuu ya CCM mjini Dodoma.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi ndg:Humphrey Polepole akizungumza wakati wa kufunga mafunzo elekezi ya siku mbili kwa Makatibu wa Mikoa CCM tanzania bara na Visiwani yaliofanyika katika Ukumbi wa sekretariet katika jengo la ofisi ya makao makuu ya CCM mjini Dodoma.
Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Ngemela ubinga,akizungumza wakati wa kufunga mafunzo elekezi ya siku mbili kwa
Makatibu wa Mikoa CCM tanzania bara na Visiwani yaliofanyika katika Ukumbi wa sekretariet katika jengo la ofisi ya makao makuu ya CCM mjini Dodoma.
Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Ngemela ubinga,akizungumza wakati wa kufunga mafunzo elekezi ya siku mbili kwa
Makatibu wa Mikoa CCM tanzania bara na Visiwani yaliofanyika katika Ukumbi wa sekretariet katika jengo la ofisi ya makao makuu ya CCM mjini Dodoma.
Hivyo makala CCM YAHITIMISHA MAFUNZO ELEKEZI YA SIKU MBILI KWA MAKATIBU WA CCM MIKOA YA TANZANIA BARA NA VISIWANI MJINI DODOMA.
yaani makala yote CCM YAHITIMISHA MAFUNZO ELEKEZI YA SIKU MBILI KWA MAKATIBU WA CCM MIKOA YA TANZANIA BARA NA VISIWANI MJINI DODOMA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala CCM YAHITIMISHA MAFUNZO ELEKEZI YA SIKU MBILI KWA MAKATIBU WA CCM MIKOA YA TANZANIA BARA NA VISIWANI MJINI DODOMA. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/ccm-yahitimisha-mafunzo-elekezi-ya-siku.html
0 Response to "CCM YAHITIMISHA MAFUNZO ELEKEZI YA SIKU MBILI KWA MAKATIBU WA CCM MIKOA YA TANZANIA BARA NA VISIWANI MJINI DODOMA."
Post a Comment