Loading...
title : NJENDANI YA EFM REDIO YAWAFIKIA WAKAZI WA KINONDONI
link : NJENDANI YA EFM REDIO YAWAFIKIA WAKAZI WA KINONDONI
NJENDANI YA EFM REDIO YAWAFIKIA WAKAZI WA KINONDONI
Efm redio imewafikia wakazi wa Kinondoni siku ya leo ya tarehe 22/09/2017, kwa kupitia tamasha lake la Njendani lililofanyika katika uwanja wa Biafra – Kinondoni, ambapo watangazaji wa Kipindi cha Joto la Asubuhi, sports HQ, Uhondo na Ladha 3600 wakitangaza moja kwa moja katika kiwanja hicho pamoja na burudani mbalimbali za muziki ikiambapata na kampeni ya kuchangia damu ilioongozwa na Mpango wa Damu salama katika kuokoa maisha ya wagonjwa waliofanyiwa upasuaji wa moyo.
Mkuu wa wilaya ya Kinondoni mheshimiwa Ally Hapi (wa kwanza kulia) akiongea live na wakazi wake kupitia kipindi cha Joto la Asubuhi – Uwanja wa Biafra.
Mtangazaji wa Kipindi cha sports HQ, akizungumza na wakazi wa Kinondoni wakichambua michezo kwa pamoja.
Rdj x5 wa kipindi cha Sports Headquarters akifanya yake Biafra.
Sehemu ya mashabiki wakishuhudia matangazo hayo moja kwa moja.
Hivyo makala NJENDANI YA EFM REDIO YAWAFIKIA WAKAZI WA KINONDONI
yaani makala yote NJENDANI YA EFM REDIO YAWAFIKIA WAKAZI WA KINONDONI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala NJENDANI YA EFM REDIO YAWAFIKIA WAKAZI WA KINONDONI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/njendani-ya-efm-redio-yawafikia-wakazi.html
0 Response to "NJENDANI YA EFM REDIO YAWAFIKIA WAKAZI WA KINONDONI"
Post a Comment