Loading...
title : UJUMBE KUTOKA KWA MWANDAAJI WA NEW MISS TANZANIA BASILLA MWANUKUZI
link : UJUMBE KUTOKA KWA MWANDAAJI WA NEW MISS TANZANIA BASILLA MWANUKUZI
UJUMBE KUTOKA KWA MWANDAAJI WA NEW MISS TANZANIA BASILLA MWANUKUZI
Napenda kuchukua fursa hii kuwasalimu na kuwapa taarifa rasmi kua mashindano ya urembo nchini pendwa ya Miss Tanzania yanaanza rasmi kesho tarehe 29 June 2018 na mikoa ya Dodoma na Mbeya. Ikifuatiwa na mikoa mingine itakayo fanyika tarehe 7/7/2018. Baada ya hapo yataanza mashindano ya kanda.
▶️Kanda ya nyanda za juu kusini 13/07/2018
▶️Kanda ya vyuo 21/07/2018
▶️Kanda ya ziwa 28/07/2018
▶️Kanda ya Dar 28/07/2018
▶️Kanda ya kaskazini 28/07/2018
▶️Kanda ya kati 03/08/2018
▶️Kanda ya mashariki 04/08/2018
Kwa niaba ya uongozi wa 'The Look' natoa shukrani za dhati kwa jinsi mnavyotuunga mkono. Na tunaomba wadau wote wa tasnia ya urembo na wananchi kwa ujumla mjitokeze kwa wingi kuhudhuria mashindano haya ambayo kwa kweli kwa mwaka huu yamekuja kivingine.
@BasillaMwanukuzi
#sanaanikazi
#UremboNaKaziKwaMaendeleoYaJam ii
#NewMissTanzania
Hivyo makala UJUMBE KUTOKA KWA MWANDAAJI WA NEW MISS TANZANIA BASILLA MWANUKUZI
yaani makala yote UJUMBE KUTOKA KWA MWANDAAJI WA NEW MISS TANZANIA BASILLA MWANUKUZI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala UJUMBE KUTOKA KWA MWANDAAJI WA NEW MISS TANZANIA BASILLA MWANUKUZI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/06/ujumbe-kutoka-kwa-mwandaaji-wa-new-miss.html
0 Response to "UJUMBE KUTOKA KWA MWANDAAJI WA NEW MISS TANZANIA BASILLA MWANUKUZI"
Post a Comment