Loading...

POLISI DAR WAZUIA MAOMBI YA VIJANA WA CHADEMA

Loading...
POLISI DAR WAZUIA MAOMBI YA VIJANA WA CHADEMA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa POLISI DAR WAZUIA MAOMBI YA VIJANA WA CHADEMA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : POLISI DAR WAZUIA MAOMBI YA VIJANA WA CHADEMA
link : POLISI DAR WAZUIA MAOMBI YA VIJANA WA CHADEMA

soma pia


POLISI DAR WAZUIA MAOMBI YA VIJANA WA CHADEMA

mwambawahabari



Kamanda wa polisi  kanda maalumu ya dar es salaam Lazaro Mambosasa  akizungumza na wandishi wa habari Leo jijini dar es salaam





makamu  Mwenyekiti wa bavicha kitaifa Patrick Sosopi akizungumza na wandishi wa habari mapema Leo jijini dar es salaam



Baraza la vijana chadema (Bavicha) limesema  kuwa  litafanya ibada ya   maombezi ya kitaifa siku ya jumapili katika  maeneo ya Sinza darajani yakiwa  na lengo la kumuombea Lissu na watu wengine ambao walishawahi kupata kadhia kama hiyo

Akizungumza na wandishi wa habari Leo jijini dar es salaam makamu  Mwenyekiti wa bavicha kitaifa Patrick Sosopi amesema kuwa  wao hawakwendi kufanya siasa Bali wataenda kufanya maombi yatakayojumuisha dini 
Aidha amesema kuwa     

Kwa Upande wake Jeshi la polisi kanda maalimu ya dar es salaam limesema halitaruhusu  maombi ambayo yalipangwa kufanyika siku ya jumapili na vijana wa chadema (bavicha) na Yale maandamo ya cuf siku ya jumatatu huku wakizuia  kusanyiko lolote lile la kimaombi la na  badala yake watumie nyumba za ibada kufanya hivyo ikiwemo msikiti au Kanisa vinginevyo itahesabika ni mkusanyiko na hatua zitachukuliwa.                     

Awali akitoa taarifa kwa vyombo vya habari Kamanda wa polisi  kanda maalumu ya dar es salaam Lazaro Mambosasa  amesema Majambazi watatu wameuawa  Mara baada ya  kujeruhiwa wakati wakikimbizwa   hospitali ya taifa Muhimbili ili kupatiwa matibabu,
na askari walianza kufyatua risasi kuwashambulia askari na ndipo askari walijibu mashambulizi na kufanikiwa kuwajeruhi majambazi watatu kati ya watano huku wengine wawili wakikimbia.


Aidha Mambosasa amesema kuwa wamefanikiwa  kukamata silaha moja bastola aina ya BERRETA yenye namba A065775Z ikiwa na risasi tano ndani ya magazine katika majibizano ya risasi kati ya askari polisi na majambazi wapatao watano(05)


Hivyo makala POLISI DAR WAZUIA MAOMBI YA VIJANA WA CHADEMA

yaani makala yote POLISI DAR WAZUIA MAOMBI YA VIJANA WA CHADEMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala POLISI DAR WAZUIA MAOMBI YA VIJANA WA CHADEMA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/polisi-dar-wazuia-maombi-ya-vijana-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "POLISI DAR WAZUIA MAOMBI YA VIJANA WA CHADEMA"

Post a Comment

Loading...