Loading...
title : RAIS MAGUFULI KUPOKEA RIPOTI YA MADINI YA ALMASI LEO.
link : RAIS MAGUFULI KUPOKEA RIPOTI YA MADINI YA ALMASI LEO.
RAIS MAGUFULI KUPOKEA RIPOTI YA MADINI YA ALMASI LEO.
MwambawahabariLEO Tarehe 07 Septemba, 2017 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli atapokea taarifa ya uchunguzi wa madini ya Tanzanite na Almasi uliofanywa na kamati maalum mbili zilizoundwa na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai.
Taarifa hiyo itakabidhiwa kwa Rais Magufuli na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa, Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Hafla ya kukabidhiwa kwa taarifa hiyo itarushwa moja kwa moja na vituo vya redio na televisheni kuanzia saa 4:00 Asubuhi.
Wananchi wote mnaombwa kufuatilia matangazo hayo kupitia vyombo vya habari na tovuti rasmi ya Ikulu ambayo ni www.ikulu.go.tz
Gerson Msigwa
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, IKULU
Dar es Salaam
Hivyo makala RAIS MAGUFULI KUPOKEA RIPOTI YA MADINI YA ALMASI LEO.
yaani makala yote RAIS MAGUFULI KUPOKEA RIPOTI YA MADINI YA ALMASI LEO. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS MAGUFULI KUPOKEA RIPOTI YA MADINI YA ALMASI LEO. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/rais-magufuli-kupokea-ripoti-ya-madini.html
0 Response to "RAIS MAGUFULI KUPOKEA RIPOTI YA MADINI YA ALMASI LEO."
Post a Comment