Loading...
title : Uzinduzi wa Kamisheni ya Kiswahili Afrika Mashariki Zanzibar.
link : Uzinduzi wa Kamisheni ya Kiswahili Afrika Mashariki Zanzibar.
Uzinduzi wa Kamisheni ya Kiswahili Afrika Mashariki Zanzibar.
Jengo la Ofisi za Kamisheni ya Kiswahili Afrika Mashariki Zanzibar limezinduliwa na Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan, likiwa katika eneo la maisara.
Katibu Mtendaji wa Kamisheni ya Jumuiya ya Afrika Mashariki Profesa Kenneth Simala akimkaribisha Waziri wa Habari Utamaduni Tanzania Dkt. Harrison Mwakyembe alipowasili katika viwanja vya jengo hilo wakati wa uzinduzi wake.
Hivyo makala Uzinduzi wa Kamisheni ya Kiswahili Afrika Mashariki Zanzibar.
yaani makala yote Uzinduzi wa Kamisheni ya Kiswahili Afrika Mashariki Zanzibar. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Uzinduzi wa Kamisheni ya Kiswahili Afrika Mashariki Zanzibar. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/uzinduzi-wa-kamisheni-ya-kiswahili.html
0 Response to "Uzinduzi wa Kamisheni ya Kiswahili Afrika Mashariki Zanzibar."
Post a Comment