Loading...

ratiba ya shughuli ya kjuaga mwili wa Sister Jean Pruitt/Timetable for Funeral service of Sr. Jean Pruitt

Loading...
ratiba ya shughuli ya kjuaga mwili wa Sister Jean Pruitt/Timetable for Funeral service of Sr. Jean Pruitt - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa ratiba ya shughuli ya kjuaga mwili wa Sister Jean Pruitt/Timetable for Funeral service of Sr. Jean Pruitt, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : ratiba ya shughuli ya kjuaga mwili wa Sister Jean Pruitt/Timetable for Funeral service of Sr. Jean Pruitt
link : ratiba ya shughuli ya kjuaga mwili wa Sister Jean Pruitt/Timetable for Funeral service of Sr. Jean Pruitt

soma pia


ratiba ya shughuli ya kjuaga mwili wa Sister Jean Pruitt/Timetable for Funeral service of Sr. Jean Pruitt

Ndugu wasanii, jamaa, marafiki, wadau wa sanaa na haki za watoto Tanzania 
Kamati ya Maandalizi ya Mazishi inapenda kutoa tangazo rasmi la shughuli 
ya kuuaga na kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu
Sista Jean Pruitt itakayofanyika siku ya Jumatano tarehe 20/09/2017 katika viwanja vya Karimjee hall jijini Dar es salaam.

Wadau wote mnaombwa kuwasili mapema kwa ajili ya kutoa heshima zetu za mwisho. Shughuli za kuuaga mwili zitaanza kuanzia saa 3:30 asubuhi.
Ibada ya mazishi itafanyikia hapo hapo viwanja vya Karimjee na baada ya  hapo Mwili Utakabidhiwa kwa Watawa wa Maryknoll kwa hatua nyingine za maziko.
Raha ya milele umpe Ee… Bwana 
na mwanga wa milele umwangazie,
apumzike kwa Amani,
Amina!
Kamati ya Maandalizi ya Mazishi.


Dear Friends,
You are respectfully invited to attend the funeral service of Sr. Jean Pruitt, which will take place on Wednesday 20th September at Karimjee Hall, Posta, along Sokoine drive, Dar es Salaam. The service is expected to start at 9:30am where we invite you to pay your final respects.
Prayer session will be conducted at Karimjee and after last respects; Sr. Jean's coffin will be taken by the Maryknolls to her final resting place.
Let’s come together to celebrate the life of Sr. Jean Pruitt as we bid her farewell and pray for her soul to rest in eternal Peace.
Please share the information with others who have also been touched by her life and saddened by her passing
Preparation Committee


Hivyo makala ratiba ya shughuli ya kjuaga mwili wa Sister Jean Pruitt/Timetable for Funeral service of Sr. Jean Pruitt

yaani makala yote ratiba ya shughuli ya kjuaga mwili wa Sister Jean Pruitt/Timetable for Funeral service of Sr. Jean Pruitt Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala ratiba ya shughuli ya kjuaga mwili wa Sister Jean Pruitt/Timetable for Funeral service of Sr. Jean Pruitt mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/ratiba-ya-shughuli-ya-kjuaga-mwili-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "ratiba ya shughuli ya kjuaga mwili wa Sister Jean Pruitt/Timetable for Funeral service of Sr. Jean Pruitt"

Post a Comment

Loading...