Loading...

RC TABORA ANZENI MAPEMA KUWAANDA WAKULIMA WA PAMBA ILI TUPATE MAVUNO MAZURI.

Loading...
RC TABORA ANZENI MAPEMA KUWAANDA WAKULIMA WA PAMBA ILI TUPATE MAVUNO MAZURI. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RC TABORA ANZENI MAPEMA KUWAANDA WAKULIMA WA PAMBA ILI TUPATE MAVUNO MAZURI., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RC TABORA ANZENI MAPEMA KUWAANDA WAKULIMA WA PAMBA ILI TUPATE MAVUNO MAZURI.
link : RC TABORA ANZENI MAPEMA KUWAANDA WAKULIMA WA PAMBA ILI TUPATE MAVUNO MAZURI.

soma pia


RC TABORA ANZENI MAPEMA KUWAANDA WAKULIMA WA PAMBA ILI TUPATE MAVUNO MAZURI.


Na Tiganya Vincent- RS-Tabora

SERIKALI ya Mkoa wa Tabora imeawaagiza Maafisa Ugani kuanza mapema maandalizi ya kilimo cha pamba kwa wakulima kutoka wilaya tano mkoani hapo zilichaguliwa kulima zao ili waweze kuzalisha pamba nyingi na nzuri kwa ajili viwanda mbalimbali hapa nchini.

Agizo hilo limetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri jana wilayani Igunga wakati alipokwenda kujionea hali halisi ya Kiwanda cha Pamba cha Manonga wilayani Igunga ambacho kimekuwa hakifanyi kazi kwa miaka zaidi ya 20 kwa sababu mbalimbali ikiwemo ukosefu wa pamba ya kutosha.

Alisema kuwa watendaji wote wanaohusika na usimamizi wa zao la pamba ni vema wakahakikisha kuwa wakulima wanapanda mbegu zinazotakiwa na kwa nafasi inayoshauri kitaalamu na kutimia mbolea na dawa za kuua wadudu zinazotakiwa.

Mwanri alisema kuwa Tabora imepata mbegu bora tani 500 ambazo zitasaidia kusambazwa katika Wilaya ambazo zimechaguliwa kulima zao la Pamba za Kaliua, Urambo, Nzega, Igunga na Uyui.

Alisisitiza pamba itakayolimwa na kuvuna itauzwa kupitia Vyama vya Ushirika na sio vinginevyo ili kuepuka mkulima kunyonywa.

Aidha Mkuu huyo wa Mkoa alipiga marufuku matumizi ya mbegu ambazo hazikuidhinishwa na Bodi ya Pamba na kuingiza mkoani hapa dawa ambazo zimepitwa na wakati.
Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri (mwenye shati jeupe ) akiongozana na viongozi mbalimbali kukagua mitambo ya Kiwanda cha Pamba cha Manonga jana wilayani Igunga kwa ajili ya kujionea hali halisi kilivyo hivi na mahitaji yake ili kianze upya uzalishaji.




Hivyo makala RC TABORA ANZENI MAPEMA KUWAANDA WAKULIMA WA PAMBA ILI TUPATE MAVUNO MAZURI.

yaani makala yote RC TABORA ANZENI MAPEMA KUWAANDA WAKULIMA WA PAMBA ILI TUPATE MAVUNO MAZURI. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RC TABORA ANZENI MAPEMA KUWAANDA WAKULIMA WA PAMBA ILI TUPATE MAVUNO MAZURI. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/rc-tabora-anzeni-mapema-kuwaanda.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "RC TABORA ANZENI MAPEMA KUWAANDA WAKULIMA WA PAMBA ILI TUPATE MAVUNO MAZURI."

Post a Comment

Loading...