Loading...
title : WAZIRI MAKAMBA AZUNGUMZIA MAADHIMISHO YA SIKU JANGWA
link : WAZIRI MAKAMBA AZUNGUMZIA MAADHIMISHO YA SIKU JANGWA
WAZIRI MAKAMBA AZUNGUMZIA MAADHIMISHO YA SIKU JANGWA
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. January Makamba (katikati) akiongea na waandishi wa habari juu ya Maadhimisho ya Siku ya Kupambana na kuenea kwa hali ya jangwa na Ukame. Mkutano huo umefanyika katika Ukumbi wa hazina Dodoma. Kushoto ni Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Prof. Faustin Kamuzora na Bw. Timothy Mande Afisa Misitu kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais.
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Prof. Faustin Kamuzora (kushoto) akifafanua jambo mbele ya waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa utoaji wa tamko la kuadhimisha siku ya kupambana na kuenea kwa hali ya jangwa na ukame, mkutano huo umefanyika leo katika ukumbi wa hazina Dodoma
Hivyo makala WAZIRI MAKAMBA AZUNGUMZIA MAADHIMISHO YA SIKU JANGWA
yaani makala yote WAZIRI MAKAMBA AZUNGUMZIA MAADHIMISHO YA SIKU JANGWA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MAKAMBA AZUNGUMZIA MAADHIMISHO YA SIKU JANGWA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/waziri-makamba-azungumzia-maadhimisho.html
0 Response to "WAZIRI MAKAMBA AZUNGUMZIA MAADHIMISHO YA SIKU JANGWA"
Post a Comment