Loading...

SERIKALI YA AWAMU YA TANO YA RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFURI IMERUDISHA IMANI KWA WANANCHI

Loading...
SERIKALI YA AWAMU YA TANO YA RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFURI IMERUDISHA IMANI KWA WANANCHI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SERIKALI YA AWAMU YA TANO YA RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFURI IMERUDISHA IMANI KWA WANANCHI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SERIKALI YA AWAMU YA TANO YA RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFURI IMERUDISHA IMANI KWA WANANCHI
link : SERIKALI YA AWAMU YA TANO YA RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFURI IMERUDISHA IMANI KWA WANANCHI

soma pia


SERIKALI YA AWAMU YA TANO YA RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFURI IMERUDISHA IMANI KWA WANANCHI

Na David John Mwanza

 KADA wa   Chama cha Mapinduzi na Mwenyekiti Mstaafu wa Serikali  ya Mtaa wa kiloleli B Jijini Mwanza Joshua Mnana amesema kazi nzuri inayofanywa na Serikali inasababisha kukimarisha Chama  cha Mapinduzi CCM.

Mwenyekiti huyo mstaafu alisema kwamba hivi Sasa Makada na wanachama wa CCM wanatembea kwa kujidai na hiyo nikutokana na serikali iliyopo madarakani inafanya  vizuri ukilinganisha na huko nyuma.

Akizungumza na waandishi wa habari jana Jijini hapa Mnana alisema hata kuhairishwa kwa baadhi ya Chaguzi ambazo zinaendelea kufanyika ndani ya Chama hicho niwazi kwamba hivi watu wanakipenda chama hivyo yeye haoni Kama kasoro.

 "Unajuwa ndugu waandishi zamani kulikuwa hakuna hiyo hali nasababu ilikuwa wanachama walikuwa wanashindwa kuchukua hata fomu ya kugombea kutokana na chama kilivyokuwa."alisema Mnana

  Aliongeza kuwa kuingia madarakani kwa serikali ya awamu ya tano chini ya Rais Dkt.John Magufuli kumefanya watu kukubali kazi zinazofanyika na kurudisha imani kubwa kwa Chama cha Mapinduzi.

Aidha akizungumzia mtaa wake wa kiloleli alisema kihalisia eneo hilo ni la milima lakini chini ya uongozi wa Rais Magufuli hivi wamepata barabara ya kiwango cha lami ambayo pia zimewekwa na taa nakufanya eneo hilo kuwa tofauti na mitaa mingine mkoani Mwanza.

  Pia Mnana aliomba viongozi wa eneo hilo ambao wapo madarakani hivi sasa kufanya utaratibu ili barabara izinduliwe na Rais Dkt Magufuli huku akiipongeza Kampuni ya Nyanza Road kwa kazi nzuri ya ujenzi wa barabara hiyo kwa kiwango cha juu.

  "Binafsi nitaendelea kuwa Mwanachama mwadilifu wa Chama cha Mapinduzi ccm na naunga mkono kwa asilimia mia moja kazi nzuri inayofanywa na rais Magufuli. "alisema Mnana


Hivyo makala SERIKALI YA AWAMU YA TANO YA RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFURI IMERUDISHA IMANI KWA WANANCHI

yaani makala yote SERIKALI YA AWAMU YA TANO YA RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFURI IMERUDISHA IMANI KWA WANANCHI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SERIKALI YA AWAMU YA TANO YA RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFURI IMERUDISHA IMANI KWA WANANCHI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/serikali-ya-awamu-ya-tano-ya-rais-dkt.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "SERIKALI YA AWAMU YA TANO YA RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFURI IMERUDISHA IMANI KWA WANANCHI"

Post a Comment

Loading...