Loading...
title : BANDARI TANGA YAZIDI KUCHANUA KILIMANJARO CUP YAITANDIKA SCOPION YA ARUSHA VIKAPU 91-60
link : BANDARI TANGA YAZIDI KUCHANUA KILIMANJARO CUP YAITANDIKA SCOPION YA ARUSHA VIKAPU 91-60
BANDARI TANGA YAZIDI KUCHANUA KILIMANJARO CUP YAITANDIKA SCOPION YA ARUSHA VIKAPU 91-60
Wachezaji wa timu ya Bandari Tanga wakichuano na timu ya Scopion ya Arusha ambapo Bandari Tanga iliendelea kung'ara kwa kuibuka na ushindi wa vikapu 91 kwa 60 kwenye mashindano ya Kilimanjaro Cup yanayoendelea kwenye viwanja vya KCMC Mjini Moshi
Wachezaji wa timu ya Bandari Tanga wakichuana na timu ya Scopion ya Arusha ambapo Bandari Tanga iliendelea kung'ara kwa kuibuka na ushindi wa vikapu 91 kwa 60 kwenye mchezo uliochezwa kwenye viwanja vya KCMC Mjini Moshi.
Wachezaji wa timu ya Bandari Tanga wakipewa mawaidha na Kocha Mkuu wa timu hiyo,Mohamed Fazal wakati wa mapumziko katika mchezo wa michuano ya kikapu ya Kilimanjaro Cup ambapo Bandari Tanga illibuka na ushindi wa vikapu 91 kwa 60 ambapo leo Bandari watawavaa timu ya Mtwara.
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
Hivyo makala BANDARI TANGA YAZIDI KUCHANUA KILIMANJARO CUP YAITANDIKA SCOPION YA ARUSHA VIKAPU 91-60
yaani makala yote BANDARI TANGA YAZIDI KUCHANUA KILIMANJARO CUP YAITANDIKA SCOPION YA ARUSHA VIKAPU 91-60 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala BANDARI TANGA YAZIDI KUCHANUA KILIMANJARO CUP YAITANDIKA SCOPION YA ARUSHA VIKAPU 91-60 mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/bandari-tanga-yazidi-kuchanua.html
0 Response to "BANDARI TANGA YAZIDI KUCHANUA KILIMANJARO CUP YAITANDIKA SCOPION YA ARUSHA VIKAPU 91-60"
Post a Comment