Loading...

SPIKA JOB NDUGAI AKUTANA NA BALOZI WA IRELAND NCHINI

Loading...
SPIKA JOB NDUGAI AKUTANA NA BALOZI WA IRELAND NCHINI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SPIKA JOB NDUGAI AKUTANA NA BALOZI WA IRELAND NCHINI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SPIKA JOB NDUGAI AKUTANA NA BALOZI WA IRELAND NCHINI
link : SPIKA JOB NDUGAI AKUTANA NA BALOZI WA IRELAND NCHINI

soma pia


SPIKA JOB NDUGAI AKUTANA NA BALOZI WA IRELAND NCHINI

Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto)akizungumza na Balozi wa Ireland nchini, Paul Sherlock (katikati) na Mshauri Mwandamizi wa Serikali hiyo, Ndg. Aran Corrington, pale ugeni kutoka ubalozi huo ulipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto)akiagana na Balozi wa Ireland nchini, Paul Sherlock (kulia) pale ugeni kutoka ubalozi huo ulipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma.
Katibu wa Bunge, Dkt. Thomas Kashililah (kulia)akiagana na Balozi wa Ireland nchini, Paul Sherlock (kushoto) pale ugeni kutoka ubalozi wa Ireland ulipotembelea Ofisi ya Bunge Mjini Dodoma, ukioongozwa na Balozi huyo. (PICHA NA OFISI YA BUNGE).


Hivyo makala SPIKA JOB NDUGAI AKUTANA NA BALOZI WA IRELAND NCHINI

yaani makala yote SPIKA JOB NDUGAI AKUTANA NA BALOZI WA IRELAND NCHINI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SPIKA JOB NDUGAI AKUTANA NA BALOZI WA IRELAND NCHINI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/spika-job-ndugai-akutana-na-balozi-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "SPIKA JOB NDUGAI AKUTANA NA BALOZI WA IRELAND NCHINI"

Post a Comment

Loading...