Loading...
title : TAARIFA YA TANGAZO LA AJALI YA GARI TZ 540 DLC
link : TAARIFA YA TANGAZO LA AJALI YA GARI TZ 540 DLC
TAARIFA YA TANGAZO LA AJALI YA GARI TZ 540 DLC
Taarifa iliyoifikia Globu ya Jamii inaeleza kwamba, Ajali mbaya iliyohusisha magari mawili (Lori la Basi ndogo aina ya Toyota Coaster) imetokea karibu na mto Katonga, barabara ya Masaka huko Kampala Uganda usiku wa kuamkia leo na kudaiwa kupoteza maisha ya Watanzania takribani 13.
Tangazo la Ajali ya Gari TZ 540 DLC
Gari tajwa hapo juu lilipata ajali karibu na mto Katonga, barabara ya Masaka kuamkia leo tarehe 18/09/2017.
Lilikuwa likiwarudisha Watanzania wa Familia ya Bw Gregory Teu ambao walikuja kwenye harusi tarehe 16/09/2017 hapa Kampala. Bibi harusi ni mtoto wa Bw na Bibi Gregory Teu wa Dar es salaam.
Jumla ya abiria waliokuwa kwenye gari ni abiria 19. Kati yao 13 wamefariki dunia na 6 wamelazwa Nsambya hospital.
Ubalozi unaendelea kufuatilia msiba huu pamoja na kupata majina yote ya waliokufa na kunusurika.
Naibu Balozi Mh. Maleko pamoja na Brigedia Generali S S Makona wameelekea Nsambya Hospital kuona Walio nusurika.
Asante sana
Ofisi ya Ubalozi
Majina yaliyopatikana kufuatia ajali hiyo.
MUNGU AZILAZE ROHO ZA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI -AMEN
Hivyo makala TAARIFA YA TANGAZO LA AJALI YA GARI TZ 540 DLC
yaani makala yote TAARIFA YA TANGAZO LA AJALI YA GARI TZ 540 DLC Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TAARIFA YA TANGAZO LA AJALI YA GARI TZ 540 DLC mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/taarifa-ya-tangazo-la-ajali-ya-gari-tz.html
0 Response to "TAARIFA YA TANGAZO LA AJALI YA GARI TZ 540 DLC"
Post a Comment