Loading...
title : TAIFA STARS YAIKALISHA BOTSWANA UWANJA WA UHURU JIJINI DAR, YAICHAPA BAO 2-0
link : TAIFA STARS YAIKALISHA BOTSWANA UWANJA WA UHURU JIJINI DAR, YAICHAPA BAO 2-0
TAIFA STARS YAIKALISHA BOTSWANA UWANJA WA UHURU JIJINI DAR, YAICHAPA BAO 2-0
Nahodha wa Timu ya Taifa (Taifa Stars), Mbwana Samatta akiondoka na mpira mbele ya mabeki wa timu ya Taifa ya Botswana, katika mchezo wa kirafiki wa kimamataifa, uliochezwa jioni ya leo katika Uwanja wa Uhuru, Jijini Dar es salaam. Taifa Stars imeshinda 2-0.
Mchezaji Gadiel Michael wa Taifa Stars akichuana na Beki wa Botswana, Mosha Gaolaole, katika mchezo wa kirafiki wa kimamataifa, uliochezwa jioni ya leo katika Uwanja wa Uhuru, Jijini Dar es salaam. Taifa Stars imeshinda 2-0.
Mshambuliaji wa Taifa Stars, Simon Msuva akiachia shuti kali lililomshinda mlinda mlango wa Botswana na kuingia wavuni, katika mchezo wa kirafiki wa kimamataifa, uliochezwa jioni ya leo katika Uwanja wa Uhuru, Jijini Dar es salaam. Taifa Stars imeshinda 2-0.
Simom Msuva, Mzamiru Yassin na Shizza Kichuya wakishangilia baada ya ushindi walioupata dhidhi ya Botswana, mchezo uliochezwa jioni ya leo katika Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es salaam. Taifa Stars imeshinda 2-0.
Hivyo makala TAIFA STARS YAIKALISHA BOTSWANA UWANJA WA UHURU JIJINI DAR, YAICHAPA BAO 2-0
yaani makala yote TAIFA STARS YAIKALISHA BOTSWANA UWANJA WA UHURU JIJINI DAR, YAICHAPA BAO 2-0 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TAIFA STARS YAIKALISHA BOTSWANA UWANJA WA UHURU JIJINI DAR, YAICHAPA BAO 2-0 mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/taifa-stars-yaikalisha-botswana-uwanja.html
0 Response to "TAIFA STARS YAIKALISHA BOTSWANA UWANJA WA UHURU JIJINI DAR, YAICHAPA BAO 2-0"
Post a Comment