Loading...
title : TAMASHA LA TULIA TRADITIONAL DANCES FESTIVAL 2017 TUKUYU MBEYA
link : TAMASHA LA TULIA TRADITIONAL DANCES FESTIVAL 2017 TUKUYU MBEYA
TAMASHA LA TULIA TRADITIONAL DANCES FESTIVAL 2017 TUKUYU MBEYA
Mkurugenzi wa Taasisi ya Tulia Trust na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson (wa tatu kushoto) akiwa na baadhi ya viongozi wakicheza pamoja na wasanii wa kikundi cha Ngoma cha Wasonjo kutoka Ngorongoro, wakati wa Tamasha la Tulia Traditional Dances Festival 2017, lililofanyika kwenye Uwanja wa Tandale Tukuyu Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya, jana Sep 22, 2017. Picha na Muhidin Sufiani
Wasanii wa Kikundi cha Ngoma cha Masebe Rungwe, wakicheza jukwaani wakati wa Tamasha la Tulia Traditional Dances Festival 2017, lililofanyika kwenye Uwanja wa Tandale Tukuyu Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya, jana Sep 22, 2017. Picha na Muhidin Sufiani
Wasanii wa Kikundi cha Ngoma cha Kanengwa, wakishambulia jukwaa wakati wa Tamasha la Tulia Traditional Dances Festival 2017, lililofanyika kwenye Uwanja wa Tandale Tukuyu Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya, jana Sep 22, 2017. Picha na Muhidin Sufiani
Wasanii wa Kikundi cha Ngoma cha Lipango Mbozi Mkoa wa Songwe, wakishambulia jukwaa wakati wa Tamasha la Tulia Traditional Dances Festival 2017, lililofanyika kwenye Uwanja wa Tandale Tukuyu Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya, jana Sep 22, 2017. Picha na Muhidin Sufiani
Majaji wa shindano la ngoma Tamasha la Tulia Traditional Dances Festival 2017, wakifuatilia burudani zilizokuwa zikiendelea jukwaani wakati wa Tamasha hilo kwenye Uwanja wa Tandale, Tukuyu. Picha na Muhidin Sufiani
Mkurugenzi wa Taasisi ya Tulia Trust na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson (wa tatu kulia) akiwaongoza baadhi ya viongozi na wadau kucheza Kwaito jukwaani wakati wa Tamasha hilo. Picha na Muhidin Sufiani.
Hivyo makala TAMASHA LA TULIA TRADITIONAL DANCES FESTIVAL 2017 TUKUYU MBEYA
yaani makala yote TAMASHA LA TULIA TRADITIONAL DANCES FESTIVAL 2017 TUKUYU MBEYA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TAMASHA LA TULIA TRADITIONAL DANCES FESTIVAL 2017 TUKUYU MBEYA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/tamasha-la-tulia-traditional-dances_23.html
0 Response to "TAMASHA LA TULIA TRADITIONAL DANCES FESTIVAL 2017 TUKUYU MBEYA"
Post a Comment